MTIHANI WA KIDATO CHA NNE KUFANYIKA KATIKA SHULE 4873 NA VITUO 1072.

WANAFUNZI KWENYE CHUMBA CHA MTIHANI

Wanafunzi wa kidato cha nne nchini kote leo wameanza mitihani ya kumaliza elimu ya kidato cha nne katika shule 4873 na vituo vya kujitegemea 1072 wanaanza rasmi  mitihani yao leo November 5 hadi 23 mwaka huu ya kumaliza elimu yao ya kidato cha nne.

Tunawatakia wanafunzi wote mitihani mema.

Ad
Ad

Unaweza kuangalia pia

MWANAFUNZI WA MALANGALI AINGIA KUMI BORA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE

#SisiTumeona SISI WATANZANIA TUNAWEZA Hivi sasa watoto wetu wanapata elimu bure bila malipo! ——————————— Matokeo …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *