Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema uamuzi wa Serikali ya awamu ya tano wa kujenga mradi wa kuzalisha umeme kwenye maporomoko ya mto Rufiji, Stiegler’s Gorge utasaidia sana kudhibiti uharibifu wa mazingira nchini. Akizungumza baada ya kutembelea eneo utakapojengwa mradi huo, Waziri Mkuu amesema umeme utakaotokana na maji, utazalishwa kwa gharama nafuu na …
Soma zaidi »LATE LIVE; WAZIRI JAFO AKITOA MATOKEO YA UKUSANYAJI WA MAPATO
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Suleiman Jafo akitoa matokeo ya ukusanyaji wa mapato hii leo Mkoani Dodoma. fuatilia kupitia matangazo hayo ya moja kwa moja kutoka Dodoma.
Soma zaidi »LIVE: JPM APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO WA MABALOZI
“WAZIRI TIZEBA ANAFANYA KAZI KUBWA”-WAZIRI MKUU
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na mamia ya wakulima leo tarehe 3 Octoba 2018 katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro wakati akimuwakilisha Rais, John Pombe magufuli katika Maadhimisho ya Miaka 25 ya Mtandao wa wakulima Tanzania (MVIWATA), (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Mamia ya wakulima wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumzaleo …
Soma zaidi »MZEE MWINYI: RAIS MAGUFULI MIMI NINA KUHUSUDU KWASABABU UNAFANYA MAMBO MAZURI KWA WANANCHI
Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi amesema kuwa aliomba kustaafu kuwa Mdhamini wa Skauti Tanzania ombi ambalo lilikataliwa na Rais Magufuli,na kusema kuwa bado vijana wana mambo mengi ya kujifunza kutoka kwake. Mzee Mwinyi amesema hayo wakati wa kumwapisha Bi. Mwantumu Mahiza kuwa Skauti Mkuu Tanzania …
Soma zaidi »PROF.KABUDI AKUTANA NA WAZIRI WA KATIBA WA SMZ
Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Haroun Ali Seleiman. Prof. Kabudi yuko Zanzibar kwa ziara ya siku mbili na katika mazugumzo yao …
Soma zaidi »SERIKALI YANUNUA MASHINE ZA MIONZI ZENYE THAMANI YA BILIONI 1.74
Serikali kupitia Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto imenunua mashine za Mionzi (digital X-ray) zipatazo kumi zenye thamani ya shilingi bilioni 1.74. Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu wakati akipokea mashine hizo kwenye Bohari ya Dawa(MSD) jijini Dar. Waziri Ummy amesema kuwa Serikaki inaendelea kutoa kipaumbele katika …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI ATEKELEZA AHADI YAKE KWA WAVUVI
WAZIRI ULINZI Dkt. MWINYI ATEMBELEA MIRADI YA SUMA JKT
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi ameendelea na ziara yake ya kutembelea miradi mbalimbali ya SUMAJKT iliyopo mkoani Dar es Salaam. Ametembelea mradi wa uuzaji matrekta na zana za kilimo, kampuni ya ulinzi binafsi na kampuni ya huduma za kumbi za sherehe, mikutano na chakula.
Soma zaidi »VIKUNDI VYA BUSTANI KUTOA FURSA ZAIDI ZA KILIMO CHA UMWAGILIAJI
Vikundi vya Kilimo cha Umwagiliaji ndani ya Jimbo la Musoma Vijijini vimejipanga kutoa elimu itakayohamasisha vijana na akina Mama kuchangamkia fursa za kilimo cha umwagiliaji hasa kwa jamii zinazoishi karibu na vyanzo vya maji mengi yanayoweza kutumika kwenye umwagiliaji. Hayo yamesemwa na Gudluck Wambwe ambaye ni Mwenyekiti wa Kikundi cha …
Soma zaidi »