WAZIRI ULINZI Dkt. MWINYI ATEMBELEA MIRADI YA SUMA JKT

WAZIRI WA ULINZI NA JKT
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa,Dkt. Hussein Mwinyi(mwenye suti) akiwa na maafisa wa mbalimbali ya Suma JKT

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi ameendelea na ziara yake ya kutembelea miradi mbalimbali ya SUMAJKT iliyopo mkoani Dar es Salaam.

WhatsApp Image 2018-10-02 at 15.19.27
Ametembelea mradi wa uuzaji matrekta na zana za kilimo, kampuni ya ulinzi binafsi na kampuni ya huduma za kumbi za sherehe, mikutano na chakula.

Ad

WhatsApp Image 2018-10-02 at 15.19.33

Ad

Unaweza kuangalia pia

Msalaba Mwekundu: Nguzo ya Kibinadamu na Ujenzi wa Jamii Imara

Msalaba Mwekundu, ambao ni sehemu ya Shirikisho la Kimataifa la Msalaba Mwekundu na Hilali Nyekundu, …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *