Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo wakati Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi akiongea machache kwenye hafla ya kuwaapisha Katibu Mkuu Wizara ya mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe na Skauti Mkuu wa Tanzania Ndg. Mwantumu Bakari Mahiza Ikulu jijini Dar es salaam leo

MZEE MWINYI: RAIS MAGUFULI MIMI NINA KUHUSUDU KWASABABU UNAFANYA MAMBO MAZURI KWA WANANCHI

  • Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi amesema kuwa aliomba kustaafu kuwa Mdhamini wa Skauti Tanzania ombi ambalo lilikataliwa na Rais Magufuli,na kusema kuwa bado vijana wana mambo mengi ya kujifunza kutoka kwake.
RAIS MAGUFULI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi baada ya kuongea machache kwenye hafla ya kuwaapisha Katibu Mkuu Wizara ya mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe na Skauti Mkuu wa Tanzania Ndg. Mwantumu bakari Mahiza Ikulu jijini Dar es salaam.
  • Mzee Mwinyi amesema hayo wakati wa kumwapisha Bi. Mwantumu Mahiza kuwa Skauti Mkuu Tanzania  na Dkt. Faraji Mnyepe kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Njee na Ushirikiano Afrika Mashariki. hii leo jijini Dar es salaam.
KATIBU MKUU WIZARA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe kuwa Katibu Mkuu Wizara ya mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Ikulu jijini Dar es salaam leo.
MWANTUMU MAHIZA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Skauti Mkuu wa Tanzania Ndg. Mwantumu bakari Mahiza Ikulu jijini Dar es salaam leo.

Fuatilia kupitia Video hii.

Ad

Unaweza kuangalia pia

MAFANIKIO YA SEKTA YA UJENZI KATIKA MKOA WA ARUSHA 

 Sekta ya Ujenzi imepata mafanikio makubwa katika Mkoa wa Arusha. Kupitia juhudi zilizofanywa na Serikali …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *