Uingereza imeipongeza Tanzania kwa jitihada zake za kuboresha mazingira ya biashara, uwekezaji, Haki za Binadamu na Utawala Bora, jambo ambalo limeimarisha ushirikiano baina ya Nchi hizo. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb) ameyasema hayo wakati wa mazungumzo kwa njia ya mtandao na …
Soma zaidi »MKUU WA MAJESHI YA ULINZI TANZANIA JENERALI VENANCE MABEYO ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA- PRETORIA
Na Mwandishi wetu, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF) Jenerali Venance Mabeyo,ametembelea Ubalozi wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania nchini Afrika Kusini. Jenerali Mabeyo yupo Nchini Afrika Kusini kuhudhuria sherehe za kumuaga Mkuu Majeshi wa Afrika Kusini Jenerali SZ Shoki zilizofanyika kitaifa Jana Mjini Pretoria. Kuhudhuria sherehe hizi,ni utaratibu uliowekwa …
Soma zaidi »TANZANIA, KENYA WAJADILI VIKWAZO VISIVYO VYA KIFORODHA
Timu ya wataalamu kutoka Tanzania imekutana na timu ya wataalamu kutoka Kenya Jijini Arusha kujadili njia za kuondoa vikwazo visivyo vya kibiasha baina ya Nchi hizo kwani vimekuwa vikiathiri biashara, mkutano wa leo Mei 26, 2021 ni maandalizi ya mkutano wa Mawaziri wa Biashara wa pande zote mbili utakaofanyika tarehe …
Soma zaidi »TANZANIA YASISITIZA KUWA BADO NI MWANACHAMA WA MAHAKAMA YA AFRIKA KUHUSU HAKI ZA BINADAMU NA WATU
Tanzania imesema bado ni mwanachama hai wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu na kwamba itaendelea kushirikiana na Mahakama hiyo pamoja na Taasisi nyingine za Utawala bora na haki za binadamu kuhakikisha haki za kila Mtanzania zinalindwa na kutetewa. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa …
Soma zaidi »SEKRETARIETI YA SADC YA UTATU YAKUTANA KWA DHARURA
Sekretarieti ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC imeitisha mkutano wa dharura wa utatu wa Jumuiya hiyo wenye lengo la kujadili mapendekezo ya Mkutano wa Kamati ya Mawaziri wa Afya kuhusu hali ya ugonjwa wa COVID – 19. Katika Mkutano huo uliofanyika kwa njia ya mtandao Tanzania imewakilishwa na …
Soma zaidi »URUSI: MATATIZO YA AFRIKA YATATULIWE NA WAAFRIKA WENYEWE
Na Mwandishi wetu, Dar Shirikisho la Urusi limesema linaunga mkono jitihada zinazofanywa na Umoja wa Afrika katika kutatua changamoto zinazolikabili bara hilo kwa kuwa matatizo ya Afrika yanahitaji kutatuliwa na Waafrika wenyewe bila kuingiliwa na Mataifa mengine. Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Mjumbe Maalum wa Rais wa Shirikisho …
Soma zaidi »JAJI IMANI ABOUD APENDEKEZWA KUGOMBEA URAIS WA MAHAKAMA YA AFRIKA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Liberata Mulamula (Mb) akizungumza na Jaji wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu kutoka Tanzania Mhe. Jaji Imani Aboud katika ofisi ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam Jaji wa Mahakama ya Afrika ya Haki …
Soma zaidi »WAZIRI WA UINGEREZA ANAYESHUGHULIKIA MASUALA YA AFRIKA – TANZANIA NI MBIA MUHIMU WA UK NA JUMUIYA YA MADOLA
Uingereza imesema Tanzania ni mbia muhimu wa miaka mingi wa maendeleo na katika Jumuiya ya Madola na kwamba Nchi ya Uingereza itaendelea kushirikiana na Tanzaniakatika masuala ya uwekezaji,biashara,diplomasia na utawala bora. Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika Mhe. James Duddridge ameyasema hayo katika mazungumzo rasmi aliyoyafanya na Waziri wa …
Soma zaidi »TANZANIA MBIA MUHIMU WA UINGEREZA, JUMUIYA YA MADOLA
Uingereza imesema Tanzania ni mbia wake muhimu wa miaka mingi katika maendeleo na Jumuiya ya Madola na kuahidi kuwa itaendelea kushirikiana na Tanzania katika masuala ya kidiplomasia, biashara na uwekezaji. Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika James Duddridge ameyasema hayo jijini Dar es Salaam katika mazungumzo rasmi aliyoyafanya na …
Soma zaidi »BALOZI IBUGE: TUENDELEE KUDUMISHA MAHUSIANO YA KIDIPLOMASIA NA BIASHARA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Brigedia Jenerali Wilbert A. Ibuge na Mhe. Abdallah Abas Kilima Balozi wa Tanzania nchini Oman wakiwa katika picha pamoja baada ya mazungumzo yaliyofanyika jijini Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa …
Soma zaidi »