Mabalozi wanaoiwakilisha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nje ya Nchi wameelekezwa kujipanga, kushiriki na kutafuta fursa zitakazowezesha bidhaa mbalimbali za Tanzania kupata masoko ya uhakika katika nchi walizopo. Agizo hilo limetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi wakati akizungumza na mabalozi wanaoiwakilisha …
Soma zaidi »TANZANIA NA CHINA KUENDELEA KUDUMISHA USHIRIKIANO
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Brigedia Jenerali Wilbert A. Ibuge na Balozi wa China nchini Mhe. Wang Ke wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuhitimisha mazungumzo yao yaliyofanyika jijini Dodoma. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na …
Soma zaidi »KIKAO CHA MAKATIBU WAKUU WA SADC KIKIENDELEA
Makatibu Wakuu wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wameendelea na kikao chao kwa siku ya pili ikiwa ni maandalizi ya mkutano wa baraza la mawaziri wa SADC unaotarajiwa kufanyika tarehe 12 – 13 Machi, 2021 kwa njia ya mtandao jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu Wizara ya …
Soma zaidi »UFARANSA KUENDELEZA AWAMU YA TANO YA MRADI WA MABASI YA MWENDOKASI
Balozi wa Umoja wa Ulaya hapa nchini, Mhe. Manfredo Fanti akimuelezea jambo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) wakati walipokutana kwa mazungumzo katika Ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, …
Soma zaidi »BURUNDI YAIOMBA TANZANIA KUISEMEA KIMATAIFA
Burundi imeiomba Tanzania kuendelea kuisemea nchi hiyo katika majukwaa ya Kimataifa ili iweze kuondolewa vikwazo vya kiuchumi ilivyowekewa na Jumuiya ya Ulaya jambo linalozorotesha maendeleo ya kiuchumi kwa nchi hiyo. Ombi hilo limetolewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimaendeleo wa Burundi, Mhe. Isidore …
Soma zaidi »MABALOZI ‘WAMLILIA’ MAALIM SEIF SHARIF HAMAD
Mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini, ‘wamemlilia’ Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad na kumuelezea kwa mema aliyoyafanya enzi za uhai wake hapa duniani. Mabalozi hao wamewasili katika Ofisi Ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam kwa nyakati tofauti kwa ajili ya kusaini kitabu cha …
Soma zaidi »BALOZI IBUGE: SIJARIDHISHWA NA UJENZI WA MAJENGO CHUO CHA DIPLOMASI
Na Mwandishi wetu, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge ameonesha kutoridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa majengo ya mihadhara katika chuo cha Diplomasia na kumuagiza Mkandarasi anayetekeleza mradi huo kuzingatia thamani ya fedha, muda wa mkataba na ubora. Balozi …
Soma zaidi »TANZANIA KUNUFAIKA NA SHILINGI BILIONI 8 KWA AJILI YA MIGEBUKA
Tanzania imechaguliwa kunufaika na mradi wa Euro milioni 3 sawa na zaidi ya shilingi bilioni 8 kwa ajili ya kuongeza mnyororo wa thamani wa samaki aina ya migebuka na dagaa kutoka ziwa Tanganyika. Mradi huo utatekelezwa Mkoani Kigoma kwa kipindi cha miaka mitano na kusimamiwa na Taasisi ya Utafiti wa …
Soma zaidi »BALOZI IBUGE AWATAKA MABALOZI KUKUZA DIPLOMASIA YA UCHUMI
Balozi wa Tanzania nchini Zimbambwe Mhe. Prof. Emmanuel Mbennah akimuelezea jambo Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge wakati wa mazungumzo yaliyofanyika katika Ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam Na Mwandishi wetu, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya …
Soma zaidi »TANZANIA YAWASILISHA OMBI MAALUM AU
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja Jamhuri ya Afrika Kusini zimewasilisha ombi maalumu kwa Umoja wa Afrika kuzitambua rasmi njia zilizotumika na wapigania uhuru kutoka Dar es Salaam kupitia nchi mbalimbali Kusini Mwa Bara la Afrika hadi Namibia kuwa urithi wa Kimataifa. Ombi hilo limewasilishwa na Rais wa …
Soma zaidi »