Recent Posts

TANZANIA KUIMARISHA USHIRIKIANO NA IORA

Tanzania imedhamiria kuimarisha ushirikiano na Jumuiya ya Nchi zilizo kwenye Mwambao wa Bahari ya Hindi (Indian Ocean Rim Association – IORA) katika kutekeleza mikakati ya uchumi wa bluu ambao unalenga kuimarisha sekta ya uvuvi hususan uvuvi wa bahari kuu. Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki …

Soma zaidi »

KIGOMA KUWA KINARA WA UZALISHAJI MICHIKICHI NCHINI – KATIBU MKUU KUSAYA

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mhe.Thobias Andengenye amesema wamejipanga kuhakikisha agizo la serikali la kuongeza uzalishaji michikichi nchini ambapo wakulima wameanza kupanda aina mpya ya miche ya Tenera yenye kutoa mafuta mengi. Mhe. Andengenye amesema hayo (17.12.2020) wakati alipofanya mazungumzo na Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw. Gerald Kusaya aliyepo …

Soma zaidi »

WATAALAM WA TIBA ASILI WATAKIWA KUFANYA UTAFITI WENYE USHAHIDI

Wataalam wa tiba asili na tiba mbadala nchi wametakiwa kufanya utafiti ambao utakuwa na ushahidi wa usalama wa dawa pamoja na ufanisi wa wa dawa hizo kwa watumiaji. Rai hiyo imetolewa na Kaimu Katibu Mkuu wizara ya Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, wazee na watoto-Idara kuu Afya Bw. Edward Mbanga …

Soma zaidi »

KATIBU MKUU MWAKALINGA AWATAKA NCC KUJITANGAZA

Mtendaji Mkuu wa Baraza la Wafanyakazi NCC, Dkt. Matiko Samson Mturi akizungumza kwenye Kikao cha Tatu cha Baraza la Wafanyakazi wa NCC lilichofanyika jijini Dar. Baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa NCC wakifuatilia hotuba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, Arch. Elius Mwakalinga kwenye kikao …

Soma zaidi »

WALIOHUSIKA NA UNUNUZI WA MAGARI YA KIFAHARI WAPEWA SIKU 7

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa siku saba kuanzia leo (Alhamisi, Desemba 17, 2020) kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, maofisa wanaochambua maombi ya ununuzi wa magari Ofisi ya Waziri Mkuu na wakurugenzi wa Jiji la Mwanza, Halmashauri ya wilaya ya Chato, Msalala na Kahama wajieleze kwa sababu gani magari …

Soma zaidi »

“WATANZANIA TUDUMISHE MUUNGANO” WAZIRI UMMY MWALIMU

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Ummy Mwalimu akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais (Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi) Zanzibar Dkt. Khalid Mohammed mara baada ya kufanya ziara ya kikazi katika Ofisi za Makamu wa Rais, Mtumba …

Soma zaidi »

TARURA WAHIMIZWA KUONGEZA KASI YA UTENDAJI KAZI

Na. Erick Mwanakulya. Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Dkt. Festo S. Dugange ameutaka Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kuongeza kasi ya uboreshaji miundombinu ya barabara na madaraja na kushughulikia kwa wakati athari zinazotokea za uharibifu wa miundombinu …

Soma zaidi »