Recent Posts

KIWANDA CHA KUSAFISHA DHAHABU MBIONI KUANZA JIJINI DODOMA

Na Tito Mselem Dodoma, Katibu Mkuu Wizara ya Madini, Profesa Simon Msanjila, amefanya ziara ya kikazi katika Kiwanda cha Kusafisha Dhahabu ( Refinery)   cha Eyes Of Africa Ltd kilichopo katika eneo la Area D pembezoni mwa Uwanja wa Ndege wa Jiji la Dodoma. Ziara hiyo yenye lengo la kukagua hatua …

Soma zaidi »

TANESCO WAPEWA SIKU TANO KULIPA FIDIA KWA WANANCHI WA KIDAHWE

Waziri wa Nishati,Dkt Medard Kalemani akizungumza na wananchi wa kijiji cha Kidahwe,kata ya Kidahwe Wilaya ya Kigoma vijiji, Mkoani Kigoma,wakati akiwa kwenye uzinduzi wa kuanza malipo kwa wananchi ambao wameridhia kutoa ardhi yao kwaajili ya ujenzi wa kituo cha Kupoza umeme cha Kidahwe. Waziri wa Nishati,Dkt Medard Kalemani ametoa siku …

Soma zaidi »

TANZANIA NA UFARANSA ZASAINI MKATABA WENYE THAMNANI YA TSH BILIONI 592

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Doto James na Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Mhe. Frederic Clavier wakisaini moja ya Mikataba ya Mkopo nafuu wa shilingi bilioni 592.57 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya Nishati ya Umeme unaounganisha Tanzania na Zambia, Mradi wa UmemeVijijini (REA) katika mikoa …

Soma zaidi »

HALMASHAURI ZATAKIWA KUTUMIA RAMANI ZINAZOTOLEWA NA WIZARA YA ARDHI

Na Munir Shemweta, WANMM SONGWE Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amezitaka halmashauri nchini kutumia ramani zilizoandaliwa na kutolewa na Wizara ya Ardhi kupitia idara yake ya Upimaji na Ramani kwa kuwa ndiyo yenye jukumu la kutafsiri mipaka ya nchi. Akizungumza wakati akimkabidhi mkuu …

Soma zaidi »