Recent Posts

RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA OFISI ZA ZIMAMOTO MAKOLE JIJINI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Jengo la Ofisi za Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji lililopo Makole jijini Dodoma. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitazama kibao cha Ufunguzi mara …

Soma zaidi »

BODI YA WAKURUGENZI YA IMF IMEIDHINISHA LEO DOLA ZA MAREKANI MILIONI 14.3 ZA MSAMAHA WA KODI WA MADENI TULIYOKUWA NAYO – RAIS MAGUFULI

Rais Dkt. John Magufuli amesema kuwa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) imeidhinisha dola za marekani milioni 14.3 za msamahaa wa kodi za madeni. Rais Magufuli amesema hayo wakati akizungumza katika uzinduzi wa Jengo la Wakala wa barabara Vijijini na Mijini (TARURA) mjini Dodoma. “Leo ninapozungumza tumepata …

Soma zaidi »

DKT. MOLLEL ATETA NA MADEREVA WA MALORI, NAMANGA

Na WAMJW- Arusha. Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel amefanya ziara katika mpaka wa Tanzania na Kenya Namanga Jijini Arusha na kuzungumza na madereva wa malori yanayokwenda Kenya ili kusikiliza changamoto zinazowakumba. Dkt. Mollel amefanya ziara hiyo leo, ikiwa ni sehemu ya …

Soma zaidi »

TTCL YASAINI MKATABA WA ZAIDI YA SH. BILIONI TANO

Na Chalila Kibuda,Michuzi TV Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe ameliagiza Shirika la Mawasiliano Nchini (TTCL) kubuni teknolojia ya gharama nafuu itakayowawezesha kuyafikia maeneo kiuchumi. Kamwelwe ameyasema  hayo baada ya kushuhudia zoezi la utiaji saini wa kupeleka mawasiliano vijijini kati ya Mfuko wa Mawasiliano kwa wote na …

Soma zaidi »

DKT. MOLLEL AONDOA UONGOZI WA HOSPITALI YA MOUNT MERU.

Na WAMJW- ARUSHA Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel ameagiza kuondolewa kwa safi ya uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha Mount Meru inayoongozwa na Mganga Mfawidhi wa Hospitali hiyo Dkt. Shafii Msechu ikiwa ni sehemu ya maboresho katika Sekta …

Soma zaidi »

HALMASHAURI ZATAKIWA KUWA NA OPERESHENI MAALUM YA UPIMAJI ARDHI

Na Munir Shemweta, WANMM TARIME Naibu Waziri wa Ardhi nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ameziagiza halmashauri nchini kufanya operesheni maalum ya kupima na kumilikisha ardhi ili kuwawezesha wananchi kuwa na hati miliki kwenye maeneo wanayoyamiliki. Dkt Mabula alitoa maagizo hayo jana kwa nyakati tofauti katika wilaya za …

Soma zaidi »