RAIS MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI BARABARA ZA LAMI KM 51.2 KATIKA MJI WA SERIKALI PAMOJA NA KUFUNGUA JENGO LA MAKAO MAKUU YA OFISI ZA TARURA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mtendaji Mkuu wa TARURA Mhandisi Victor Seff kuhusu mradi wa ujenzi wa Barabara za lami zenye jumla ya km 51.2 katika mji wa Serikali (Mtumba) mkoani Dodoma leo tarehe 11 Juni 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo wakivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi mradi wa ujenzi wa Barabara za lami zenye jumla ya km 51.2 katika mji wa Serikali (Mtumba) mkoani Dodoma leo tarehe 11 Juni 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi mara baada ya kuweka jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa Barabara za lami zenye jumla ya km 51.2 katika mji wa Serikali (Mtumba) mkoani Dodoma leo tarehe 11 Juni 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika viwanja vya Makao Makuu ya Ofisi za TARURA Mtumba mjini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mitambo itakayotumika katika katika ujenzi wa Barabara za lami zenye jumla ya km 51.2 katika mji wa Serikali (Mtumba) mkoani Dodoma leo tarehe 11 Juni 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama pamoja na viongozi wengine ili kumkumbuka Marehemu Pierre Nkururinza Rais wa zamani wa Burudi aliyefariki juzi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi wakati Bendi ya JKT Makutopora ilipokuwa ikitumbuiza kabla ya kufungua jengo la Ofisi za Makao Makuu ya TARURA mjini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wafanyakazi mbalimbali wa Serikali kabla ya kufungua Jengo la Ofisi za Makao Makuu ya TARURA mjini Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiendesha moja ya pikipiki ambazo alizikabidhi kwa Maafisa Tarafa wa nchi nzima katika hafla ya ufunguzi wa Jengo la Ofisi za Makao Makuu ya TARURA mjini Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kufungua jengo la la Ofisi za Makao Makuu ya TARURA mjini Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Wafanyakazi mbalimbali wa Serikali mara baada ya kufungua jingo la Ofisi za TARURA mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa Tarafa wa Wilaya Mbalimbali ambao walikabidhiwa Pikipiki ili ziweze kuwasaidia katika kazi zao za kila siku. PICHA NA IKULU
Ad

Unaweza kuangalia pia

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA WOMENLIFT HEALTH

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akimsikiliza Maelezo kutoka kwa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *