Recent Posts

SOKO LA DHAHABU MKOANI GEITA LACHANGIA MAPATO YA SERIKALI KUPITIA MRABAHA NA ADA YA UKAGUZI KWA JUMLA YA BILIONI 36.57

Na Nuru Mwasampeta, WM WAZIRI wa Madini, Doto Biteko amewataka Watanzania kuutazama mchango wa sekta ya madini kwa namna unavyosaidia kuinua sekta nyingine za uchumi, kwani tayari kwa upande wa kuongezeka kwa ukusanyaji wa maduhuli sekta hiyo imeonesha mafanikio makubwa. “Niliwaambia wenzangu wizarani, lazima tuhame sasa kwenye mfumo wa kufurahia …

Soma zaidi »

SERIKALI KULIPA MAFAO YA WALIMU 2631 KABLA YA MWEZI AGOSTI, 2020

Rais Dkt. John Magufuli amesemea kuwa Serikali italipa mafao ya walimu kabla ya mwezi wa Agosti mwaka huu ambapo walimu wanaodai mafao yao ni 2631, amesema hayo katika mkutano wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) uliofanyika mjini Dodoma “kwa taarifa za jana kutoka mfuko wa PSSSF umepokoea na kulipa trilioni …

Soma zaidi »

OFISI YA ARDHI RUKWA KUTOA HUDUMA KWA WELEDI NA HAKI

Kamishna Msaidizi wa Ardhi Mkoa wa Rukwa, Swagile Msananga amewatoa hofu wananchi wa Mkoa huo kuwa, hawatakuwa na haja ya kusafiri umbali mrefu kufuata huduma za sekta ya ardhi katika ofisi za kanda zilizopo mkoa wa Mbeya baada ya Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi nchini, kuanzisha ofisi …

Soma zaidi »

WAKAGUZI WA MAZINGIRA DODOMA WAPATIWA MAFUNZO

Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma, Maduka Kessy akisoma hotuba ya ufunguzi wa mafunzo kwa Wakaguzi wa Mazingira wateule Kutoka Mamlaka za Serikali za Mitaa zilizopo jijini Dodoma ambao watakuwa na jukumu la Kusimamia kikamilifu uzingatiaji na utekelezaji wa Sheria ya Mazingira yanayofanyika jijini Dodoma. Washiriki wa mafunzo kwa Wakaguzi …

Soma zaidi »

MIRADI YA ULGSP YAWA KIVUTIO KWA WAGENI KATIKA MJI WA SUMBWANGA

Katika kuhakikisha maendeleo ya nchi yanamgusa kila mwananchi katika mikoa, Wilaya na Halmashauri nchini, Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) imepewa dhamana ya kusimamia programu ya uimarishaji miji (Urban Local Government Support Program – ULGSP) kwaajili ya kuimarisha halmashauri 18 za miji …

Soma zaidi »