WAKAGUZI WA MAZINGIRA DODOMA WAPATIWA MAFUNZO Matokeo ChanyA+ June 4, 2020 Makamu wa Rais, MAZINGIRA Acha maoni 883 Imeonekana Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma, Maduka Kessy akisoma hotuba ya ufunguzi wa mafunzo kwa Wakaguzi wa Mazingira wateule Kutoka Mamlaka za Serikali za Mitaa zilizopo jijini Dodoma ambao watakuwa na jukumu la Kusimamia kikamilifu uzingatiaji na utekelezaji wa Sheria ya Mazingira yanayofanyika jijini Dodoma. Washiriki wa mafunzo kwa Wakaguzi wa Mazingira wateule Kutoka Mamlaka za Serikali za Mitaa zilizopo jijini Dodoma wakiwa katika mafunzo ya kuwajengea uwezo katika kusimamia kikamilifu uzingatiaji na utekelezaji wa Sheria ya Mazingira yanayofanyika jijini Dodoma. Ad Share Facebook Twitter Stumbleupon LinkedIn Pinterest