Recent Posts

NIDHAMU YA MATUMIZI YA FEDHA YAONGEZEKA KWENYE HALMASHAURI NCHINI

Mbunge wa Nanyamba (CCM), Abdallah Chikota amesema uwepo wa nidhamu ya matumizi ya fedha kwenye Mamlaka za serikali za mitaa umechangia asilimia 95 ya Halmashauri kupata hati inayoridhisha kwenye ukaguzi. Chikota ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa(LAAC), alitoa kauli hiyo jana …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama kwa dakika moja pamoja na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Mawaziri pamoja na Manaibu Mawaziri ili kumkumbuka na kumuombea aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Marehemu Balozi Augustine Mahiga …

Soma zaidi »

SADC WAPENDEKEZA KUONDOLEWA KWA VIKWAZO VYA KIBIASHARA MIPAKANI

Eric Msuya – MAELEZO Katibu Mkuu Wizara  ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Kanali Wilbert Ibuge amewataka watanzania kuendelea kudumisha umoja na Ushirikiano wa Kibiashara katika ukanda wa Jumuiya ya maendeleo Kusini mwa Afrika SADC. Akizungumza na waandishi wa Habari mara baada ya kufungua Mkutano wa …

Soma zaidi »

MFUMO WA STAKABADHI GHALANI KUMNUFAISHA MKULIMA WA UFUTA – RC NDIKILO

Na Mwamvua Mwinyi, Pwani Mkoa wa Pwani, umekemea wakulima wa ufuta waliofanya udanganyifu  msimu wa ununuzi uliopita kwa kuchanganya ufuta na mchanga, kwani umesababisha doa kwenye soko hivyo kwasasa mfumo utakaotumika ni wa stakabadhi ghalani ,ambao utadhibiti udanganyifu na kuinua pato la mkulima.Aidha minada ya ununuzi wa ufuta mwaka huu …

Soma zaidi »