Recent Posts

MKUTANO WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA

MAJIBU: Swali lililouzizwa kwa Makatibu wakuu wa Vyama juu ya uelewa wao wa falsafa ya Rais Mhe. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ya 4R’s (Reconciliation, Resilience, Reforms na Rebuilding. #ImarishaDemokrasia #TunzaAmani #KaziIendelee pic.twitter.com/M617uI0me3— Matokeo ChanyA+ (@matokeochanya) January 4, 2024

Soma zaidi »

MISWADA YA SHERIA ZA UCHAGUZI NA SHERIA ZA VYAMA VYA SIASA

Madhumuni muhimu Ya mkutano huu, ni kujadili na kuelewa kwa kina falsafa ya "4R" iliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan. "4R" inaashiria Reconciliation (Maridhiano), Reforms (Mageuzi), Regulations (Sheria), na Rebranding (Kuibadilisha Upya). #ImarishaDemokrasia @ikulumawasliano pic.twitter.com/oyISgqPJXb— Matokeo ChanyA+ (@matokeochanya) January 4, 2024

Soma zaidi »

MKUTANO WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA

Maridhiano yamejenga mazingira yanayofaa kwa ushirikiano wa pande zote kufanya kazi pamoja kufikia malengo ya pamoja, kufanya marekebisho ya sheria mbalimbali hivyo kukuza umoja na maendeleo ya pamoja. #ImarishaDemokrasia #TunzaAmani #KaziIendelee pic.twitter.com/YBqZq7SRwu— Matokeo ChanyA+ (@matokeochanya) January 4, 2024

Soma zaidi »

MKUTANO WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA

Maridhiano yamesaidia katika uponyaji wa kihisia na yameleta ukweli wa kihisia na kiroho. Maridhiano yamesaidia watu au jamii zilizoathiriwa na migogoro kusonga mbele na kupona kutokana na majeraha ya kihisia. #ImarishaDemokrasia #TunzaAmani #KaziIendelee pic.twitter.com/buHoyHkQO8— Matokeo ChanyA+ (@matokeochanya) January 4, 2024

Soma zaidi »

MKUTANO WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA

Rais Mhe. DKT SAMIA alianzisha falsafa ya 4R’s Reconciliation, Resilience, Reforms na Rebuilding ili kudumisha amani, utulivu na kushughulikia masuala ya siasa, kijamii na kiuchumi nchini. Ni vyema zitafsiriwe kwa lugha ya Kiswahili. #ImarishaDemokrasia #TunzaAmani #KaziIendelee pic.twitter.com/cBDKbhEWQU— Matokeo ChanyA+ (@matokeochanya) January 4, 2024

Soma zaidi »

MKUTANO WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA

Maridhiano yamewezesha kurejesha mahusiano yaliyovunjika. yamejenga daraja la uelewa, imani, na mawasiliano mazuri, hivyo yameimarisha uhusiano kati ya viongozi wa vyama vyote vya Siasa. #ImarishaDemokrasia #TunzaAmani #BarazaLaVyamaVyaSiasa #KaziIendelee pic.twitter.com/3mRf2AWdyG— Matokeo ChanyA+ (@matokeochanya) January 4, 2024 Kujenga Jamii Iliyostahimilivu: Kupitia mageuzi, jamii inaweza kujenga uwezo wa kustahimili changamoto za kisiasa, kiuchumi, …

Soma zaidi »

TRA Imekusanya Tsh. Trilioni 3.05 mwezi Desemba 2023.

TRA ilikusanya Trilioni 3.05 mwezi Desemba 2023, ukusanyaji wa juu zaidi kwa mwezi katika historia. Ilipita lengo lake kwa asilimia 102.9%. Mwelekeo wa Ukusanyaji wa Mapato kwa miezi 6 iliyopita. Julai – Trilioni 1.9 ,Agosti – Trilioni 2 ,Septemba – Trilioni 2.6 , Oktoba – Trilioni 2.148 ,Novemba – Trilioni 2.143 ,Desemba – Trilioni 3.049. Wajibu …

Soma zaidi »