Recent Posts

WANANCHI WA MOROGORO WAFURAHIA MAENDELEO YA MRADI WA TRENI YA SGR

Wananchi wa Mkoa wa Morogoro wameelezea furaha yao kuhusu maendeleo ya mradi wa treni ya kisasa (SGR). Wamesifu jitihada za serikali katika kutekeleza mradi huo, ambao utafungua fursa nyingi za kiuchumi na kijamii katika mkoa wao na nchi kwa ujumla. Wameeleza kuwa treni ya SGR itarahisisha usafiri wa abiria na …

Soma zaidi »

“Mhe Rais nikupe habari njema…..”

“Mhe Rais nikupe habari njema; picha yako hiyo.. (picha ya Rais Dkt. Samia akiwa katika chumba Maalum cha kuokolea maisha watoto wachanga wanaozaliwa na changamoto za kiafya, alipotembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi 14/07/2024), Mhe Rais picha yako hiyo imenipa (Wizara ya Afya) ahadi ya kupata Dola za …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU: SERIKALI IMEIMARISHA NGUVUKAZI SEKTA YA AFYA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imeimarisha nguvukazi kwenye sekta ya afya kwa kuongeza taasisi zinazotoa mafunzo ya afya na upatikanaji wa fursa za elimu ya juu kwa kada hiyo. “Serikali imefanya upanuzi wa taasisi za mafunzo ya afya ili kuongeza idadi ya wahitimu. Taasisi hizo ni pamoja na vyuo …

Soma zaidi »

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ametembelea kaburi la aliyekuwa Rais wa Awamu ya 3, hayati Benjamin William Mkapa katika Kijiji cha Lupaso mkoani Mtwara, Julai 28, 2024, kuhani familia na kuzungumza na wananchi wa Lupaso.

Balozi Nchimbi amesema “naomba nikiri kuwa mimi ni mwanafunzi wa hayati na nimekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Taifa (UVCCM), katika kipindi chake. Ndiye alinilipia ada ya kusoma chuo kikuu na alikuwa mfuatiliaji sana na alitulea vizuri. Sio sisi tu, bali Watanzania wote aliwalea pia. Alikuwa mzalendo kwa nchi, alifanya …

Soma zaidi »