Recent Posts

SERIKALI KUIMARISHA MFUMO MADHUBUTI WA KIKATIBA NA KISHERIA

Serikali kupitia Wizara ya Katiba na Sheria imejipanga kuimarisha mfumo madhubuti wa kikatiba na kisheria ili kufanikisha utekelezaji wa sera na mipango kwa maendeleo ya Taifa. Hayo yamesemwa leo Bungeni  jijini Dodoma na Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Dkt. Augustine Mahiga (Mb) alipokuwa akiwasilisha Bungeni Mpango na Makadirio ya …

Soma zaidi »

SERIKALI YASHUSHA GHARAMA ZA URASIMISHAJI

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amesema kuanzia sasa gharama za urasimishaji haitazidi shilingi 150,000 badala ya 250,000 iliyopangwa awali na makampuni yatakayoenda kinyume yatachukuliwa hatua ikiwemo kufutwa. Lukuvi alitoa kauli hiyo leo jijini Dar es Salaam alipokutana na Makampuni ya Upangaji na Upimaji yanayofanya kazi …

Soma zaidi »

WAZIRI KALEMANI ASISITIZA TAASISI ZA UMMA VIJIJINI ZIWEKEWE UMEME

Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amewaagiza wataalamu wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), kuwasimamia wakandarasi wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini nchi nzima, kuhakikisha wanatoa kipaumbele cha kuunganisha umeme kwa taasisi zote za umma zilizo katika maeneo yao. Alitoa maagizo hayo kwa nyakati tofauti jana, Aprili 16, 2019 akiwa katika …

Soma zaidi »

TANZANIA YARIDHIA AfDB KUONGEZEWA MTAJI

Tanzania imeunga mkono uamuzi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika-AfDB wa kutaka kuongezewa mtaji ili iweze kutekeleza majukumu yake ya kutoa mikopo kwa nchi wanachama wa benki hiyo kwa lengo la kuchochea zaidi maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Akizungumza baada ya kumalizika kwa mkutano wa 7 wa magavana wa ambao …

Soma zaidi »