Mkuu wa Mkoa Mhe. Ali Hapi akisikiliza kero, maswali ya wananchi na kutafutia majibu na utatuzi. Bofya link hii kufuatilia moja kwa moja. #MATAGA
Soma zaidi »Recent Posts
MKUU WA MKOA WA RUVUMA:Kila mmoja asimamie lishe bora
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Bibi Christina Mndeme amesaini mkataba wa kusimamia suala la LISHE na Wakuu wa Wilaya wenye lengo la kuongeza uwajibikaji katika suala la kukabiliana na tatizo la Utapiamlo ndani ya Mkoa huo. Aidha Mkuu wa Mkoa amewaasa wananchi kila mmoja kushiriki kikamilifu katika kusimamia suala la …
Soma zaidi »AGIZO LA RAIS MAGUFULI KWA TAKUKURU
• Amuagiza Mkurugenzi Mkuu kuupitia upya muundo wa utendaji wa tasisi hiyo • Ataka Wakuu wa TAKUKURU wa Mikoa na Wilaya wawe na nafasi ya kutolea maamuzi kesi za rushwa zilizo ndani ya eneo lao la kazi bila kuchelewa au kusubiri kibali kutoka Makao Makuu ya taasisi hiyo. kwani #SisiNiTanzaniaMpyA+ …
Soma zaidi »MATAIFA ZAIDI YA 75 YASHIRIKI KONGAMANO LA MAFUTA NA GESI
Serikali imesema imejipanga vema kuhakikisha sekta ya nishati na hasa ya mafuta na gesi inawanufaisha Watanzania wote na kwamba nchi imefanya maandalizi makubwa kwa ajili ya kunufaika na sekta hiyo. Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira …
Soma zaidi »LATE LIVE: WAZIRI MKUU AKIZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI KISHA WANANCHI WA UKARA
Aelezea agizo la Mhe. Rais kuhusu kutangazwa kwa tenda ya haraka sana kujengwa kwa kivuko kikubwa kitakachokuwa kikitoa huduma eneo la Ukara Azungumza na wanachi na kuwasihi kuwa wavumilivu katika kipindi hiki kigumu cha msiba. Awaahidi kuwa rambirambi zote zinazokusanywa na serikali, zitakuwa za wafiwa na kiasi kidogo kuwa sehemu …
Soma zaidi »MV Nyerere: Mazishi ya baadhi ya waliofariki yafanyika
Katika kipindi hiki serikali italeta kivuko cha muda ili wananchi kutumia kwa mujibu wa taarifa ambayo imetolewa leo na waziri mkuu Kassim Majaliwa wakati akiongoza mazishi. Waziri mkuu amesema ni msiba mkubwa ulioipata nchi. Ibada ya mazishi imeambatana na dua kutoka kwa viongozi wa dini ya Kiislamu na Kikristo.
Soma zaidi »Jumla ya miili 224 imeopolewa hadi sasa mkasa wa MV Nyerere
Serikali itaunda tume ya uchunguzi itakayohusisha timu ya wataalamu na vyombo ya dola, kuhakikisha chanzo cha ajali kinatambulika. Jumla ya miili 224 imeopolewa kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Waziri wa uchukuzi mhandisi Isack Kamwelwe. Maafisa wote wanaohusika na uendeshaji wa kivuko wamekamatwa na wanahojiwa kwa uchunguzi. Mazishi yataendelea kufanyika …
Soma zaidi »LIVE; Mazishi ya Kitaifa ya wananchi waliokufa katika Ajali ya MV Nyerere
LIVE; Taarifa ya Habari ya Televisheni ya Taifa – TBC1
RAIS DR. SHEIN; suala la elimu bure ni utekelezaji wa ilani ya ASP na hivi sasa CCM
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa azma ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume kutangaza elimu bure kwa watoto wa Zanzibar bila ubaguzi ilikuwa ni utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya Chama Cha ASP ambayo inaendelea kutekelezwa hadi hivi leo. Dk. Shein …
Soma zaidi »