Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan awasalimiana Mkoani Kigoma tayari kwa ziara ya kikazi ya siku 4.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brigedia Jenerali Mstaafu Emanuel Maganga mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kigoma tayari kwa ziara ya kikazi ya siku 4.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivishwa skafu na vijana wa Skauti mara baada ya kuwasili mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi ya siku 4.

Ad

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kikundi cha ngoma mara baada ya kuwasili mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi ya siku 4.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitazama kikundi cha ngoma  mara baada ya kuwasili mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi ya siku 4. Picha na Ofisi ya makamu wa Rais.

 

Ad

Unaweza kuangalia pia

SERIKALI IMEBORESHA KANUNI ZA USIMAMIZI ELEKEZI – NAIBU WAZIRI SIMA

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Sima amesema Serikali …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *