Recent Posts

MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA MRADI WA MAJI SAME MWANGA KOROGWE

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Mwajuma Waziri kuhusu maendeleo ya ujenzi wa mradi wa maji Maji wa Same – Mwanga – Korogwe wakati alipotembelea chanzo cha mradi huo eneo la la Nyumba yaMungu Wilaya ya Mwanga wakati akiwa ziarani mkoani Kilimanjaro tarehe 21 Machi 2024. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika eneo la Nyumba ya Mungu Wilaya ya Mwanga kwaajiliya kutembelea na kukagua chanzo cha maji cha mradi wa Maji wa Same – Mwanga – Korogwe wakati akiwa ziarani mkoani Kilimanjaro tarehe 21 Machi 2024. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ameagiza uongozi wa Wizara ya Maji pamoja na …

Soma zaidi »

MAFANIKIO YA SEKTA YA UJENZI KATIKA MKOA WA ARUSHA 

 Sekta ya Ujenzi imepata mafanikio makubwa katika Mkoa wa Arusha. Kupitia juhudi zilizofanywa na Serikali kupitia TANROADS, kumekuwa na maboresho makubwa katika miundombinu ya barabara na madaraja. Kulingana na Meneja wa TANROADS Mkoa wa Arusha, Mha. Reginald R. Massawe, kumekuwa na ongezeko la kilometa 53 za barabara za lami, ambapo …

Soma zaidi »

UCHORONGAJI VISIMA VYA JOTOARDHI KUANZA APRILI 2024

kazi ya uchorongaji wa visima vya Jotoardhi nchini Tanzania itaanza mwezi Aprili mwaka huu ili kuweza kuhakiki rasilimali ya Jotoardhi iliyopo kabla ya kuanza kwa shughuli za uzalishaji umeme. Serikali tayari imeshatenga fedha kwa ajili ya kuendeleza vyanzo vya Jotoardhi na kwamba kampuni ya KenGen mwezi Aprili mwaka huu itakuwa …

Soma zaidi »

JE UNAIJUA JUMUIYA YA MADOLA?

Malengo na lengo kuu la Jumuiya ya Madola: Kulinda mazingira na kuhamasisha matumizi endelevu ya rasilimali asilia kwenye ardhi na baharini. kukuza biashara na uchumi. kusaidia demokrasia, serikali, na utawala wa sheria. kukuza jamii na vijana, ikiwa ni pamoja na usawa wa jinsia, elimu, afya na michezo.

Soma zaidi »

“Nani aliyeunda Jumuiya ya Madola na kwa nini?”

Malkia Elizabeth II pamoja na mawaziri wake wakuu wa Jumuiya ya Madola mwaka 1962. Picha: Alamy Nani aliyeunda Jumuiya ya Madola na kwa nini?  Katika mkutano wa mwaka 1926, Uingereza na Himaya zake zilikubaliana kwamba wote walikuwa wanachama sawa wa jamii ndani ya Himaya ya Kiingereza. Wote walikuwa wana wajibu …

Soma zaidi »