Recent Posts

MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI MKUTANO WA AFRICA – CARRICOM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza na washiriki mbalimbali ambao ni wakuu wa Nchi na Serikali wakati aposhiriki mkutano wa kwanza wa Afrika na Umoja wa Nchi za “Carribbean”(Africa – CARRICOM Summit) uliofanyika kwa njia ya mtandao. Septemba 7, 2021. Makamu wa …

Soma zaidi »

BODI YA MAZAO MCHANGANYIKO (CPB) YAASWA KUYAONGEZEA THAMANI MAZAO NCHINI

Waziri wa Kilimo nchini Mhe. Profesa Adolf Mkenda akipokea maelezo ya bidhaa itokanayo na zao la alizeti wakati wa sherehe ya kuzindua viwanda vya uchakataji mazao jijini Dodoma Jumatano iliyopita. Bodi ya Mazao Mchanganyiko (CPB) nchini imeaswa kufanya jitihada za ziada katika kuyaongezea thamani mazao ili kuweza kushindana na soko …

Soma zaidi »

UJENZI WA MAJENGO YA GHOROFA MTUMBA WASHIKA KASI

Katibu wa kikosi kazi cha Taifa cha kuratibu Serikali kuhamia Dodoma na ujenzi wa mji wa Serikali Mtumba Bwana Meshack Bandawe  amekutana na wakurugenzi wa utawala na rasilimali watu wa Wizara zote ili kujadili  maandalizi na utekelezaji wa ujenzi wa ofisi za ghorofa za Wizara zitakazojengwa awamu ya pili katika …

Soma zaidi »