Recent Posts

WAZIRI LUKUVI AMALIZA UTATA MGOGORO WA ARDHI KIJITONYAMA

Na Munir Shemweta, WANMM Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amemaliza utata uliojitokeza mtaa wa Nzasa kata ya Kijitonyama katika Manispaa ya Kinondoni Dar es Salaam baina ya baadhi ya wakazi wa mtaa huo na mmiliki wa viwanja  namba 296 na 297 Dkt Khalifa Mussa Msami …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS SAMIA AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI TANGA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  akimwagilia Maji Mti aina ya Paukaria alioupanda katika eneo la Kiwanda cha Kuchakata Mahindi Michungwani Segera Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga leo March 15,2021 baada ya kuweka Jiwe la Msingi Kiwanda hicho.  Makamu wa Rais ameanza ziara …

Soma zaidi »

WAZIRI MHAGAMA ATOA WIKI MBILI CHANGAMOTO MRADI WA MKULAZI KUTATULIWA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Jenista Mhagama ameiagiza kamati elekezi ya Kusimamia Mradi wa Mkulazi Estate, kuhakikisha ndani ya wiki mbili ujenzi wa barabara na uwekaji umeme kwenye eneo la mradi huo, ili kuruhusu shughuli za utekelezaji wa mradi …

Soma zaidi »

WAZIRI LUKUVI AMALIZA MGOGORO SUGU WA ARDHI WAZO

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amehitimisha mgogoro wa muda mrefu baina ya wananchi wa eneo la Chasimba, Chatembo na Chachui katika kata ya Bunju na Wazo Manispaa ya Kinondoni na Kiwanda cha Saruji cha Tanzania Portland (Wazo Hill) ambapo kiwanda hicho kimekubali kuachia hekta 224.8 …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU MAJALIWA: RC NJOMBE FUATILIA MADAI YA WAKULIMA WA CHAI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhandisi Marwa Mwita Rubirya afuatilie na kuchukua hatua kwa baadhi ya viwanda vya chai vinavyonunua majani mabichi ya chai ambavyo vimekuwa vikichelewesha malipo ya wakulima ahakikishe vinawalipa kwa wakati. Pia, Waziri Mkuu ameiagiza Wizara ya Kilimo ianzishe minada ya kuuza …

Soma zaidi »