Recent Posts

TATHMINI YAFICHUA HASARA YA BILIONI1.6 UPANUZI HOSPITALI YA TUMBI

Na.Catherine Sungura,KibahaUchunguzi wa tathmini ya uwepo wa thamani ya fedha katika utekelezaji wa mradi wa upanuzi na uboreshaji wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani-Tumbi umeonesha hasara ya shilingi bilioni 1.6. Hayo yamebainishwa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto Dkt.Dorothy Gwajima wakati akipokea tathmini …

Soma zaidi »

WAGONJWA WANNE WA MOYO WAWEKEWA KIFAA CHA KUSADIA MOYO KUFANYA KAZI

Wagonjwa wanne wenye matatizo ya kutanuka kwa moyo, uwezo wa moyo kusukuma damu kuwa chini ya asilimia 50, mfumo wa umeme wa moyo kuwa na shida iliyopelekea moyo kutokufanya kazi sawasawa wamewekewa kifaa cha  kuusadia moyo kufanya kazi vizuri kijulikanacho kitaalamu kwa jina la Cardiac Resynchronization Therapy Device – CRT-D. …

Soma zaidi »

RC KUNENGE APOKEA MAGARI 20 NA KONTENA 65 ZA KUHIFADHI TAKA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Aboubakar Kunenge March 03 amepokea Magari 20 na Kontena 65 za kuhifadhi taka zenye thamani ya Shilingi bilioni 4.1 ambapo amewahimiza wakazi wa Dar es salaam kuhakikisha wanazingatia suala la usafi wa mazingira.Akipokea Magari hayo kwenye Bandari ya Dar es salaam, RC Kunenge …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI KATAMBI AHIMIZA WAGENI WALIOAJIRIWA NCHINI KURITHISHA UJUZI KWA WAZAWA

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Kazi, Vijana na Ajira Mhe. Patrobas Katambi amewataka wageni walioajiriwa nchini kwenye miradi mbalimbali ikiwemo ya kimkakati kuhakikisha wanatekeleza mpango wa urithishaji ujuzi “Succession Plan” kwa wafanyakazi wazawa kama inavyoelekezwa kwenye Sheria ya kuratibu Ajira kwa Wageni. Hayo yameelezwa Mkoani Mara, …

Soma zaidi »

BURUNDI YAIOMBA TANZANIA KUISEMEA KIMATAIFA

Burundi imeiomba Tanzania kuendelea kuisemea nchi hiyo katika majukwaa ya Kimataifa ili iweze kuondolewa vikwazo vya kiuchumi ilivyowekewa na Jumuiya ya Ulaya jambo linalozorotesha  maendeleo ya kiuchumi kwa nchi hiyo. Ombi hilo limetolewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimaendeleo wa Burundi, Mhe. Isidore …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU MAJALIWA: TPA IMARISHENI USIMAMIZI WA ‘FLOW METER’

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameiagiza Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ihakikishe inaendelea kuimarisha usimamizi wa mitambo ya mita za upimaji wa mafuta (Flow Meter) ili kudhibiti upotevu wa mapato ya Serikali. Pia, Waziri Mkuu amesema Serikali inataka kuona makusanyo yote ya mapato kutoka katika bandari zote nchini yanayokusanywa na TPA …

Soma zaidi »