Recent Posts

MAJALIWA: SERIKALI INATAMBUA MCHANGO UNAOTOLEWA NA TAASISI ZA KIDINI NCHINI

Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan inaheshimu, inathamini na kutambua mchango mkubwa unaotolewa na taasisi za kidini katika kujenga jamii ya wacha Mungu, wenye kutii mamlaka na sheria. Pia, Mheshimiwa Majaliwa ametoa wito kwa taasisi za kidini kujiepushe kutumia nyumba za …

Soma zaidi »

WAZIRI MCHENGERWA AELEKEZA KUWASHUSHA VYEO MAAFISA UTUMISHI WALIOSHINDWA KUTEKELEZA AGIZO LA KUWAPANDISHA VYEO WATUMISHI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Mchengerwa amewaelekeza watendaji wa ofisi yake kufanya ufuatiliaji ili kuwashusha vyeo Maafisa Utumishi katika Taasisi za Umma walioshindwa kutekeleza agizo la Rais Samia Suluhu Hasssan la kuwapandisha vyeo watumishi wenye sifa za kupanda madaraja. Mchengerwa …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MABALOZI SABA IKULU DODOMA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor akizungumza na Mabalozi saba wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi za Rwanda, Sweden, Uturuki, Korea Kusini, Uswisi, India na Ethiopia wakati mabalozi hao walipofika kumuaga Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma. Oktoba 1, 2021. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano …

Soma zaidi »

WALIOKIUKA SHERIA YA UNUNUZI WA UMMA WAKALIA KUTI KAVU

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Bw. Emmanuel Tutuba, wakifungua ripoti ya tathmini ya utendaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) kwa mwaka wa fedha 2020/21, kushoto ni mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa PPRA, Prof. Ninatubu …

Soma zaidi »

DG MPYA REA ATAKA UTENDAJI KAZI WENYE BIDII, MAARIFA NA UADILIFU

Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Wakili Julius Kalolo (kulia), akimtambulisha rasmi Mkurugenzi Mkuu mpya wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Said kwa Wafanyakazi wa REA mara baada ya kukabidhiwa rasmi Ofisi, Septemba 29, 2021 Dodoma. Mkurugenzi Mkuu mpya wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan …

Soma zaidi »