Recent Posts

WAMACHINGA – TUPO TAYARI KUPANGWA KWENYE MAENEO RASMI

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla leo September 16 amefanya kikao Cha pamoja na uongozi wa Machinga Mkoa wa Dar es salaam kuhusu njia Bora ya Kuwapanga Machinga Jijini humo. Katika kikao hicho Uongozi wa Machinga umepongeza hatua ya RC Makalla kutumia njia ya shirikishi Jambo lililotoa …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI MABULA AZINDUA MPANGO KABAMBE MJI WA GEITA

Na Munir Shemweta, GEITA    Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amezindua Mpango Kabambe wa Mji wa Geita 2017-2037 na kuitaka halmashauri ya mji huo kuhakikisha inasimamia utekelezaji wa mpango huo bila kuruka hatu za utekelezaji. Alisema, mkoa wa Geita umebahatika kuwa na shughuli nyingi …

Soma zaidi »

SERIKALI YA AHIDI KUSIMAMIA KIKAMILIFU MKOPO NAFUU WA SHILINGI TRILIONI 1.3 ULIOTOLEWA NA IMF KUKABILIANA NA ATHARI ZA UVIKO -19

Waziri wa Fedha na Mipango Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Ncgemba, amewahakikishia Wanzania kuwa Mkopo wenye masharti nafuu wa dola za Marekani milioni 567.3 sawa na shilingi trilioni 1.3 uliotolewa na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwa ajili ya kukabiliana na athari za Uviko-19 zitasimamiwa kikamilifu ili kuleta tija iliyokusudiwa. …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA MGENI RASMI TAMASHA LA MICHEZO LA WANAWAKE LA TANZANITE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuzindua Tamasha la Kwanza la Michezo la Wanawake la Tanzanite litakalofanyika katika viwanja vya Uhuru na Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam kuanzia Septemba 16 hadi 18, 2021 huku uzinduzi rasmi ukifanyika Jumamosi, Septemba 18.  Katibu Mkuu Dkt. …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA – RAIS MWANAMKE TUTAMUWEKA 2025

Rais wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amewaomba wanawake  nchini kushikamana ili kuhakikisha wanamchagua mwanamke kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Rais Samia amesema hayo tarehe 15 Septemba, 2021 wakati akihutubia kwenye maadhimisho ya  Siku ya Kimataifa ya Demokrasia …

Soma zaidi »

HESLB NA TASAF KUWEZESHA WANAFUNZI WA KAYA MASKINI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Leonard Akwilapo ameitaka Bodi ya Mikopo ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii kuendeleza mashirikiano yaliyopo ili kuhakikisha watanzania wahitaji wenye sifa za kujiunga na elimu ya juu wanawezeshwa. Akizungumza katika Hotuba …

Soma zaidi »

MKURUGENZI WA USAID TANZANIA AZUNGUMZA NA WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro ( kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Tanzania wa Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) ,Veeraya Kate Somvongsiri mara baada ya kufanya mazungumzo leo Jijini Dodoma ambapo pamoja na mengine wamezungumzia hatua ambazo Wizara ya Maliasili na …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI MKUU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango, hii leo Septemba 15,2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa. Mazungumzo hayo yamefanyika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.

Soma zaidi »