Recent Posts

BURUNDI YAIOMBA TANZANIA KUISEMEA KIMATAIFA

Burundi imeiomba Tanzania kuendelea kuisemea nchi hiyo katika majukwaa ya Kimataifa ili iweze kuondolewa vikwazo vya kiuchumi ilivyowekewa na Jumuiya ya Ulaya jambo linalozorotesha  maendeleo ya kiuchumi kwa nchi hiyo. Ombi hilo limetolewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimaendeleo wa Burundi, Mhe. Isidore …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU MAJALIWA: TPA IMARISHENI USIMAMIZI WA ‘FLOW METER’

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameiagiza Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ihakikishe inaendelea kuimarisha usimamizi wa mitambo ya mita za upimaji wa mafuta (Flow Meter) ili kudhibiti upotevu wa mapato ya Serikali. Pia, Waziri Mkuu amesema Serikali inataka kuona makusanyo yote ya mapato kutoka katika bandari zote nchini yanayokusanywa na TPA …

Soma zaidi »

KENANI AKAGUA MRADI WA MAJI WA BILIONI 520

Mkuu wa Wilaya ya Arusha Kenani Kihongosi amefanya ziara ya kikazi Kukagua mradi wa Maji wa Bilioni 520 akiambatana na Madiwani wa jiji la Arusha wakiongozwa na Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha Maximillian Iraghe pamoja na watendaji wa kata katika Jiji la Arusha. Mkuu wa Wilaya amesema kuwa mradi …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI KUNDO – SERIKALI INABORESHA MIUNDOMBINU YA MAWASILIANO

Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari (ICT) – Mhe. Mhandisi. Andrea Mathew Kundo amemwagiza Mkuu wa Kanda wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Kanda ya Mashariki kushughulikia haraka maombi ya Halmashauri ya Chalinze ya kuimarisha MIundombinu ya mawasiliano ikiwemo kupatiwa kibali cha Masafa ya radio (radio frequency) na …

Soma zaidi »

WAZIRI LUKUVI AAGIZA MAENEO YA MRADI WA KIMKAKATI KUPANGWA

Na Munir Shemweta, Misungwi Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi ameitaka halmashauri ya wilaya ya Misungwi mkoa wa Mwanza kuhakikisha inapanga na kupima maeneo yanayopitiwa na miradi ya kimkakati ya treni ya Mwendokasi (SGR) na Kivuko cha Kigongo katika halmashauri hiyo mkoani Mwanza. Akizungumza wakati wa …

Soma zaidi »