Recent Posts

SERIKALI YAJA NA MFUMO BORA WA HAKIMILIKI KWA WASANII NA WABUNIFU

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi, ameahidi kuwa Serikali ipo katika hatua za mwisho za kuboresha mifumo ya hakimiliki ili kuhakikisha wasanii wa mawanda mbalimbali wananufaika kila kazi zao za ubunifu zinapotumika iwe kwenye redio, TV, mitandaoni na kila sehemu ya biashara. Dkt. Abbasi …

Soma zaidi »

BARAZA LA BIASHARA KINONDONI LAZINDULIWA

Akizindua Baraza hilo, Mwenyekiti wake ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Daniel Chongolo amesema hili ni jukwaa pekee linatoa nafasi ya  kukutana na wadau wa sekta binafsi na  kujadiliana fursa zakiuchumi ikiwa ni pamoja  na utatuzi wa changamoto utakaoleta tija katika mustakabali wa nchi yetu inayosimamia sera …

Soma zaidi »

TARURA YAENDELEA KUBORESHA MIUNDOMBINU MKOANI NJOMBE

Muonekano wa ujenzi wa Daraja la Ruhuji unaondelea lenye urefu wa Mita 22 liliopo Halmashauri ya Mji wa Njombe linalounganisha Kata ya Ramadhani na Mabatini likiwa limefikia asilimia 50. Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), unaendelea kutekeleza miradi mbalimbali katika Mkoa wa Njombe ili kuwezesha wananchi kusafiri na …

Soma zaidi »

BILIONI 4 ZATENGWA KUIMARISHA MIUNDOMBINU JANGWANI

Serikali kupitia Mfuko wa Barabara (Road fund) imesema ipo tayari kupitisha kiasi cha shilingi bilioni nne kwa ajili ya kumlipa mkandarasi atakaepatikana ili kuboresha miundombinu ya jangwani mara baada ya uhakiki wa makisio hayo kukamilika na kujiridhisha. Akizungumza kwa niaba ya wajumbe wa Bodi ya mfuko huo, Mwenyekiti wa Bodi …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU AWAONYA WATAALAMU WA UNUNUZI NA UGAVI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa onyo kali kwa wataalamu wa ununuzi na ugavi ambao bado wanaendekeza vitendo viovu kama rushwa, upendeleo, kuingilia michakato ya ununuzi kwamba waache mara moja kwani Serikali haitomhurumia yeyote atakayebainika kujihusisha na vitendo hivyo. Waziri Mkuu ametoa onyo hilo leo (Jumatano, Desemba 2, 2020) alipofungua Kongamano …

Soma zaidi »