Recent Posts

DKT. KALEMANI ASEMA CORONA HAIJAATHIRI UPATIKANAJI WA MAFUTA NCHINI

Zuena Msuya Dar es Salaam, Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amewatoa hofu watanzania kwa kusema kuwa tishio la virusi vya ugonjwa wa corona halijaathiri upatikanaji wa mafuta nchini. Aidha kuna ziada ya mafuta itakayotumika zaidi ya siku 30 na bado meli zinaendeleapakuwa mafuta bandarini. Dkt. Kalemani alisema hayo Jijini …

Soma zaidi »

BALOZI BRIGEDIA GENERALI IBUGE AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI LUVANDA

Balozi Brigedia Generali Wilbert Ibuge,Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mheshimiwa Baraka Luvanda Balozi wa Tanzania nchini India katika ofisi za Wizara zilizopo Mtumba, jijini Dodoma.   Mazungumzo hayo yalilenga kubadilishana mawazo na uzoefu baina yao kuhusu masuala mbalimbali …

Soma zaidi »

VIONGOZI WA SEKTA YA AFYA WATAKIWA KUWATHAMINI WATUMISHI WA CHINI

Na. Catherine Sungura, WAMJW Waganga wafawidhi wa Hospitali za Rufaa za Mikoa (RRH) nchini wametakiwa kusimama katika nafasi zao na kuwatambua watumishi wa chini yao wanaofanya kazi kwa kujitoa kwenye kutoa huduma za afya pamoja na kusimamia upotevu wa mapato kwenye vituo vyao. Rai hiyo imetolewa mwishoni mwa wiki na …

Soma zaidi »

MKUTANO WA VIDEO WA BARAZA LA MAWAZIRI UMOJA WA AFRIKA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi akifuatilia ufunguzi wa Mkutano wa 38 wa Baraza la Mawaziri wa Umoja wa Afrika unaofanyika kwa njia ya video. Anayeonekana katika Screen pichani ni Waziri wa Ushirikiano na Uhusiano wa Kimataifa wa Afrika Kusini na …

Soma zaidi »

TAASISI ZA FEDHA NCHINI ZA AHIDI KUTOA MTAJI KUFUFUA TAFICO

Taasisi za fedha nchini zimeipongeza Serikali kwa maamuzi ya kulifufua Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO) na kulipa tena nafasi ya kuweza kusimamia mnyororo wa thamani wa zao la Samaki huku wakiahidi kutoa mtaji ili kuliimarisha shirika hilo.  hayo yalisemwa na Mkurugenzi Mtendaji, Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB), Japhet Justine …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI ATAKA KISWAHILI KUTUMIKA MAHAKAMANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Viongozi mbalimbali, Wafanyakazi wa Mahakama, Majaji pamoja na wananchi wa mkoa wa Dodoma katika kilele cha maadhimisho ya siku ya sheria nchini na miaka 100 ya Mahakama Kuu yaliyofanyika katika viwanja vya Chinangali jijini Dodoma leo …

Soma zaidi »