WAZIRI MKUU AAGIZA MABANGO YA UTALII YAWEKWE KATIKA UWANJA WA NDEGE WA KIA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameuagiza uongozi wa bodi ya KADCO uhakikishe unaweka mabango ya kielektroniki yenye kuonesha vivutio vya utalii kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA). “KADCO na Wizara ya Maliasili na Utalii, shirikianeni kuweka utaratibu wa kutangaza vivutio vyetu vya utalii hasa wanyama kwenye viwanja vyote vya ndege. …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU AWAAGA WATALII 1,000 KUTOKA ISRAEL
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka watalii kutoka Israel wakawe mabalozi wazuri wa kuitangaza Tanzania pindi wakirudi huko kwao. Ametoa wito huo leo mchana (Jumamosi, Aprili 27, 2019) kwenye uwanja wa ndege wa Kilimanjaro (KIA) wakati akiwaaga watalii 274 walioondoka nchini leo mchana kurejea kwao. Watalii hao ni miongoni mwa watalii …
Soma zaidi »HIFADHI YA NGORONGORO KUENDELEA KUVUTIA WATALII ZAIDI – DKT.MANONGI
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kuendelea kuvutia watalii wa ndani na nje ya nchi ili kuongeza mchango wa sekta hiyo katika pato la Taifa na kuchochea ustawi wa wananchi. Hayo yamesemwa na Mhifadhi mkuu wa Mamlaka hiyo Dkt. Fredy Manongi wakati wa kipindi cha ‘TUNATEKELEZA’ ambapo alieleza kuwa dhamira ya …
Soma zaidi »WIZARA YA MALIASILI NA UTALII KUTANGAZA UTALII KUPITIA AFCON U17
Serikali ya dhamiria kutumia jukwaa wa Mashindano ya AFCON U17 yatakayofanyika hivi karibuni kutangaza vivutio vya utalii vilivyopo nchini ili kunufaika na wageni mbalimbali watakao kuja kushiriki michuano hiyo ya Kimataifa. Kauli hiyo imetolewa jana na Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Prof.Adolf Mkenda wakati wa kikao na Katibu …
Soma zaidi »BODI YA UTALII YAPOKEA WATALII 69 KUTOKA A.KUSINI WALIOKUJA KWA NJIA RELI YA TAZARA
TANZANIA INASHIKA NAMBA MOJA KWA KUWA NA SIMBA WENGI BARANI AFRIKA
Yapongeza juhudi za Serikali katika kukomesha ujangili Yazishauri nchi za Afrika kulinda na kuhifadhi wanyamapori AFRICAN Wildlife Foundation imesema Tanzania ndio nchi inayoongoza kwa kuwa na Simba wengi na kwa upande wa Tembo inashika nafasi ya tatu barani Afrika. Imesema hiyo inatoka na juhudi ambazo zinafanywa na Serikali ya Tanzania …
Soma zaidi »WATALII 312 KUTOKA CHINA KUTEMBELA VIVUTIO VYA UTALII NCHINI
WAMILIKI WA VIWANDA VYA MISITU WAHAKIKISHIWA KUONGEZEWA MIKATABA
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii. Mhe. Constantine Kanyasu amewahakikishia wamiliki wa viwanda vya misitu Tanzania kuwa atashughulikia ombi lao la kutaka kuongezewa muda wa mikataba yao kutoka miaka miwili hadi mitano ya kupewa mgao wa vitalu vya miti Pia ameahidi kuyafanyia kazi malalamiko mbalimbali yaliyowasilishwa ofisini kwake na wamiliki …
Soma zaidi »