Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imewapokea watalii 69 waliowasili leo jijini Dar es Salaam wakitokea Afrika Kusini kupitia reli ya TAZARA.Watalii hao kutoka Mataifa Mbalimbali, wamewasili katika stesheni ya TAZARA, kwa kutumia treni ya Kampuni ya Ravos, ya nchini Afrika Kusini.Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imewapokea watalii 69 waliowasili leo jijini Dar es Salaam wakitokea Afrika Kusini kupitia reli ya TAZARA.Watalii hao kutoka Mataifa Mbalimbali, wamewasili katika stesheni ya TAZARA, kwa kutumia treni ya Kampuni ya Ravos, ya nchini Afrika Kusini.