WATALII 312 KUTOKA CHINA KUTEMBELA VIVUTIO VYA UTALII NCHINI

MKUTANO
Afisa Ubalozi wa Tanzania Ndugu Lusekelo Gwassa akihutubia waandishi wa habari wa Jimbo la Zhejiang wakati wa hafla ya kutangaza safari ya watalii 312 kutoka Jimbo hilo kwenda Tanzania ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa makubaliano ya Bodi ya Utalii Tanzania(TTB) na Touchroad Group
AFISAWA  BALOZI
Afisa Ubalozi wa Tanzania Ndugu Lusekelo Gwassa akihutubia waandishi wa habari wa Jimbo la Zhejiang wakati wa hafla ya kutangaza safari ya watalii 312 kutoka Jimbo hilo kwenda Tanzania ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa makubaliano ya Bodi ya Utalii Tanzania na Touchroad Group. Kwa mujibu wa Bank kuu ya Tanzania mwaka 2018 taifa liliingiza dola 2.44 bilioni kupitia sekta ya utalii.
Ad

Unaweza kuangalia pia

WAZIRI ZUNGU AHUDHURIA MKUTANO WA 7 WA BARAZA LA KISEKTA LA MAWAZIRI WA MAZINGIRA NA MALIASILI WA JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI

             

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *