LIVE: MKUTANO WA KUMI NA TANO, KIKAO CHA KUMI NA SABA,MASWALI NA MAJIBU BUNGENI
UWEKEZAJI KWENYE MIRADI YA UMEME VIJIJINI UCHAGIZE UKUAJI WA UCHUMI – SIMBACHAWENE
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, George Simbachawene ametoa wito kwa Serikali kuhakikisha kuwa uwekezaji mkubwa unaofanywa katika miradi ya umeme vijijini unachagiza ukuaji wa uchumi kwa kupeleka umeme unaotosholeza mahitaji ya wananchi na kusambaza umeme katika Taasisi za Serikali na kijamii. Simbachawene ameyasema hayo jijini Dodoma, …
Soma zaidi »LIVE: KUTOKA BUNGENI, KIPINDI CHA MASWALI NA MAJIBU
LIVE:MKUTANO WA KUMI NA TANO, KIKAO CHA KUMI NA SABA, MASWALI NA MAJIBU
SERIKALI YAKUSANYA KODI YA SH.BILLION 5.5 ZA TAULO ZA KIKE
Sserikali imesema kuwa katika mwaka wa fedha 2016/17 hadi 2017/18 ilikusanya kodi ya ongezeko la thamani(VAT) ya kiasi cha Sh. Bilioni 5.5 kwenye bidhaa ya taulo za kike ‘Sanitary Pads’ zilizoingizwa nchini kabla ya kodi hiyo kuondolewa Juni mwaka jana. Kauli hiyo ilitolewa jana bungeni na Naibu Waziri wa Fedha …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU ATEMBELEA OFISI MPYA ZA WIZARA YA NISHATI, MTUMBA, DODOMA
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amefanya ziara ya kukagua ofisi mpya za Wizara ya Nishati na Wizara nyingine zilizopo Mtumba jijini Dodoma ili kuona kama lengo la Serikali la kutoa huduma kwa wananchi katika eneo hilo limefanikiwa. Waziri Mkuu alifanya ziara hiyo tarehe 23 Aprili, …
Soma zaidi »BUNGE LAPITISHA BAJETI YA WIZARA YA HABARI KWA MWAKA 2019/2020
LIVE: KUTOKA BUNGENI, MKUTANO WA KUMI NA TANO, KIKAO CHA KUMI NA NNE
HOJA ZA SERIKALI – WAZIRI WA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO
Soma zaidi »HAKUNA SIKUKUU KWENYE KAZI ZA UMEME – WAZIRI KALEMANI
Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amewaagiza amewaagiza wakandarasi wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini kuendelea na kazi katika maeneo yao kwa siku zote zikiwemo sikukuu. Alitoa maagizo hayo Aprili 18, 2019 Kongwa, Dodoma alipokuwa akikagua utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini; ambapo pia aliwasha umeme katika vijiji vya Ngonga na …
Soma zaidi »