Maktaba Kiungo: JIJI LA DAR ES SALAAM

CRDB BENKI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUWEZESHA MITAJI KWA WAJASIRIAMALI VIJANA

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Majid Nsekela ameipongeza Serikali ya awamu ya Tano chini ya uongozi wa Mh Rais Dr John Pombe Joseph Magufuli kwa kazi kubwa inayofanya katika kuleta maendeleo na kuwahudumia Watanzania na hivyo katika kuunga mkono juhudi za serikali Benki ya CRDB ipo tayari kushirikiana na …

Soma zaidi »

MAGEUZI YA KISAYANSI YAZAA MATUNDA SEKTA YA MADINI – DKT. ABBASI

  Hatua za serikali kuhakikisha Watanzania wananufaika na rasilimali za nchi yao na kuongeza mapato zimeanza kuzaa matunda licha ya kupingwa vikali hapo awali. Akiongea na waandishi wa habari leo Jijini Dar-es-Salaam, Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi, amesema hatua zilizochukuliwa kwenye sekta …

Soma zaidi »

UWANJA WA NDEGE TERMINAL 3 WAKAMILIKA KWA ASILIMIA 99.5

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isaack Kamwele amefanya ziara ya kutembelea mradi wa ujenzi wa jengo jipya  la 4  la abiria (Terminal 3) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa  Julius Nyerere (JNIA) leo jijini Dar es Salaam na kuonesha kuridhishwa na usimamizi. Akizungumza na waandishi wa habari …

Soma zaidi »

MRADI WA UMEME WA KINYEREZI 1 EXTENSION KUKAMILIKA MWEZI AGOSTI 2019

Imeelezwa kuwa mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia gesi wa Kinyerezi I extension utakamilika mwezi Agosti mwaka huu ambapo utazalisha umeme wa kiasi cha megawati 185. Hayo yalisemwa jijini Dar es Salaam tarehe 28 Aprili, 2019 na Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani wakati alipofanya ziara ya ukaguzi wa miradi …

Soma zaidi »

SERIKALI YATANGAZA AJIRA ZAIDI YA 1,600 NDANI YA UTUMISHI WA UMMA

Serikali ya awamu ya tano imeendelea kutekeleza kwa vitendo ahadi yakeya kutoa fursa za Ajira kwa Watanzania wenye sifa, ujuzi na elimu katikag ngazi mbalimbali kadri ya mahitaji kwa lengo la kuongeza rasilimaliwatue Serikaliniili kuongeza ufanisi katika kuwahudumia wananchi. Kati ya mwezi Machi na Aprili, 2019 zaidi ya nafasi wazi …

Soma zaidi »