Muonekano wa barabara ya Morogoro eneo la Kimara stop over jijini Dar es salaam hivi leo ambapo tayari Ujenzi wa Upanuzi wa barabara hiyo Kuanzia Kimara hadi Kibaha yenye Urefu wa Kilometa 19.2 unaendelea.Upanuzi huo utahusisha kuongeza njia za magari kutoka mawili mpaka nane,Mradi huo muhimu ukikamilika utasaidia kupunguza msongamano mkubwa wa Magari takribani 50,000 yanayopita katika barabara hiyo kila siku .ambapo mradi huo unaendelea