Soma zaidi »
Tani Zaidi ya 7,000 Za Reli Zawasili Bandari ya Dar Es Salaam
Zimeshaanza kupakuliwa kutoka kwenye meli Kazi ya kuzipakua itachukua siku 7 zitaanza kufungwa katika malaruma mwezi huu huu Septemba 2018 Ujenzi wa Reli ya mwendo kazi kipande cha Dar – Morogoro kukamilika mapema zaidi ya muda uliokisiwa maana #SisiNiTanzaniaMpyA+.. inayopata Matokeo ChanyA+ 110% katika kila nyanja ya kukuza na kujenga …
Soma zaidi »MWENYEZI MUNGU AMLINDE NA AMJAALIE AFYA NJEMA RAIS MAGUFULI – MZEE MSEKWA
“Mwenyeji Mungu amjaalie Afya njema..ili aendelee kuijenga nchi yetu.., kuiongoza nchi yetu kwa miaka kumi; Isingekuwa juhudi zako Nyerere.., Taifa letu lingekuwa wapi.. Tutataka kumuimbia Rais Magufuli, Isingekuwa juhudi za Magufuli.. haya yangetoka wapi..โ – Mzee Pius Msekwa, Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 05/09/2018 Ikulu …
Soma zaidi »Live Rais Magufuli Akizungumza eneo la Serengeti – Tarehe 6 Septemba 2018
LIVE Rais Magufuli: Butiama Mkoani Mara – Tarehe 6 Septemba 2018
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Butiama mkoani Mara ambapo Mhe. Rais Dkt. Magufuli anazindua barabara ya makutano ya Natta – Magumu katika Wilaya ya Butiama yenye urefu wa km 135 kisha atazungumza na wananchi. Fuatilia kwa kubofya link hii ๐๐ฝ AU Sikiliza online Radio – Radio chanyA+ kwa …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI; ANAFUATA NYAYO ZA MWALIMU NYERERE KWA KARIBU SANA – MZEE MSEKWA
Asema ni kiongozi tuliyejaaliwa na Mwenyezi Mungu Akiri baadhi ya mambo yaliyowashinda Awamu ya Kwanza (wakati wao wa uongozi wakiwa na Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere) Rais Magufuli ameyatekeleza kwa ufanisi mkubwa kabisa ikiwemo suala la serikali kuhamia Makao Makuu Dodoma.
Soma zaidi »LIVE Radio ChanyA+
Radio ChanyA LIVE Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Anazungumza Na Wananchi Katika Uwanja Wa Mkendo. Leo Tarehe 5 Septemba 2018.
Soma zaidi »Live: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Anazungumza na Wananchi katika uwanja wa Mkendo – Leo Tarehe 5 Septemba 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Anazungumza na Wananchi katika uwanja wa Mkendo Leo Tarehe 5 Septemba 2018.
Soma zaidi »Live: Rais Magufuli Atembelea Shule Aliyosoma Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere – Tarehe 5 Septemba 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Anazungumza na Wananchi Leo Tarehe 5 Septemba 2018. Rais Dkt John Magufuli, ameendelea na ziara yake ya kutembelea, kukagua na kuzindua miradi mbalimbali inayotekelezwa katika maeneo mbalimbali hapa nchini. Leo Septemba 05, Rais Magufuli ametembelea shule ya …
Soma zaidi »Tulijisahau..Sasa ni wakati wa kusafisha nyumba; Fagia!! Ili Nchi irudi kwenye mstari – Prof. Kabudi
#MATAGA https://soundcloud.com/user-105000585/hotuba-ya-kizalendo-ya-waziri-prof-kabudi-alipozungumza-na-watanzania-waishio-marekani
Soma zaidi »