- Asema ni kiongozi tuliyejaaliwa na Mwenyezi Mungu
- Akiri baadhi ya mambo yaliyowashinda Awamu ya Kwanza (wakati wao wa uongozi wakiwa na Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere) Rais Magufuli ameyatekeleza kwa ufanisi mkubwa kabisa ikiwemo suala la serikali kuhamia Makao Makuu Dodoma.
Tags JPM JPM Mkoa wa Mara Magufuli Ukerewa Rais Tupo Vizuri Wananchi
Unaweza kuangalia pia
RAIS MAGUFULI AIPONGEZA MAHAKAMA NA WADAU KWA MAFANIKIO MAKUBWA
Rais Dkt. John Magufuli ameipongeza Mahakama na wadau wake kwa hatua kubwa za kimaendeleo zilizopigwa …