Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Butiama mkoani Mara ambapo Mhe. Rais Dkt. Magufuli anazindua barabara ya makutano ya Natta – Magumu katika Wilaya ya Butiama yenye urefu wa km 135 kisha atazungumza na wananchi.
Fuatilia kwa kubofya link hii ๐๐ฝ
Ad
AU
Sikiliza online Radio – Radio chanyA+ kwa kubofya link hii ๐๐ฝ
Rais wetu.. yupo kazini
Nchi yetu… inapata Matokeo ChanyA+ katika kukuza na kujenga uchumi imara na madhubuti kwa Watanzania wote.
#MATAGA
Ad