Maktaba Kiungo: KILIMO

WAZIRI WA KILIMO HASUNGA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA KILIMO NA MAENDELEO VIJIJINI WA ISRAEL

Waziri wa Kilimo wa Tanzania Mhe Japhet Hasunga (Mb) tarehe 5 Septemba 2019 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Kilimo na Maendeleo Vijijini wa Israel Mhe Uri Yehuda Ariel HaCohen na kukubaliana kwa kauli moja kuwa serikali za nchi hizo mbili kuingia makubaliano ya kuendeleza kilimo hususani katika utafiti, …

Soma zaidi »

WAFANYABIASHARA ZAIDI YA 1683 KUHUDHURIA KONGAMANO LA KIBIASHARA JIJINI DAR

Wafanyabiashara zaidi ya  1683 wanatarajiwa kihudhuria  katika kongamano la kibiashara la nchi ya nchi mbili, Tanzania na Uganda litakalofanyka katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Mkutano huo wa wafanyabiashara zaidi ya 1056 wa Tanzania na wauganda 426  utafunguliwa kesho Septemba 6, 2019 na Rais wa …

Soma zaidi »

TUTAFANYA MABADILIKO MAKUBWA KWENYE SEKTA YA KILIMO – WAZIRI HASUNGA

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) amesema kuwa serikali YA Tanzania imejipanga kuikabili sekta ya kilimo ikiwa ni pamoja na kuona umuhimu wa kuwaandaa watanzania katika kubadilisha kilimo chao kutoka kwenye kilimo cha kujikimu na kuwa kilimo cha kibiashara. Waziri Hasunga ameyasema hayo leo tarehe 3 Septemba 2019 wakati …

Soma zaidi »

DOMINGOS:TUTAENDELEA KUBORESHA, KUIMARISHA NA KUHAMASISHA BIASHARA ZA MAZAO YA KILIMO SADC.

Sekratarieti ya Chakula, Kilimo na Malisili kutoka Nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini Mwa Afrika (SADC) imesema kuwa itaendelea kufanya kazi karibu na wananchi walioko kwenye ukanda wa Jumuiya hiyo  ili kuimarisha utekelezaji wa Sera ya Maendeleo ya  2015-2020 SADC hasa kwenye Sekta ya  Biashara kwa …

Soma zaidi »