Maktaba Kiungo: KILIMO

TANZANIA TUWE WAANGALIFU HISTORIA YA KILIMO IMEJAA HADAA NA HUJUMA TELE

Historia ya kilimo duniani inaonyesha jinsi ambavyo mbinu mbalimbali zimetumika kudidimiza kilimo katika nchi zetu Afrika ili tugeuke wategemezi. Hujuma ya kwanza dhidi ya kilimo chetu ilikuwa enzi ya ukoloni, Wakoloni hawakutaka tujitosheleze kwa chakula au tuanzishe viwanda vinavyotumia mazao ya kilimo. Enzi ya ukoloni tulilazimishwa kulima mazao yanayokidhi mahitaji …

Soma zaidi »

RAIS DKT. MAGUFULI AKAGUA MAGARI YA JESHI YATAKAYOSAFIRISHA KOROSHO.

Asisitiza yeye na serikali awamu ya tano, HATINGISHWI! Alitaka Jeshi la Wananchi kuwa tayari kwa oparesheni Korosho kuanzia Jumatatu jioni tarehe 12 Novemba, 2018. Aeleza kuwa serikali ina fedha yote ya kununua korosho yote iliyozalishwa katika msimu wa kilimo. tazama hotuba za utangulizi na hotuba ya Mhe. Rais kabla ya …

Soma zaidi »

TANZANIA YA VIWANDA: Wakulima Mkoani Ruvuma Waendelea Kunufaika na Kiwanda Cha Kubangua Korosho!

Zaidi ya tani 20 ambapo kg. 20,920,519 zilinunuliwa kutoka katika minada ya wakulima. Wakulima wanufaika kwa mauzo ya korosho hizo kwa kupata Tsh. Bilioni 79.78 kama malipo. Serikali yajipanga kuwathibiti wote wanaohujumu zao la korosho. Yawataka wakulima kujenga uaminifu kwa kuuza korosho safi ili kuwa na soko imara.

Soma zaidi »