RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KAMISHNA MKUU WA UNHCR
LIVE CATCH UP: RAIS DKT. MAGUFULI ATEMBELEA CHANNEL TEN JIJINI DSM
UBORESHAJI WA RELI YA KATI KUTOKA DAR – ISAKA WAFIKIA 10%
Uboreshaji wa Reli ya Kati – TIRP kutoka Dar es Salaam hadi Isaka yenye urefu wa kilometa 900 pamoja na uboreshaji wa tuta na kuweka reli mpya zenye uwezo wa kubeba mzigo mkubwa na kwenda kasi zaidi ya kilometa 70 kwa saa ili kuokoa muda na kutoa huduma ya uhakika …
Soma zaidi »MUHIMBILI YAFANYA UCHUNGUZI WA AWALI WA KUANGALIA UVIMBE KWENYE MATITI BILA KUFANYA UPASUAJI
Hospitali ya Taifa Muhimbili, Mloganzila kwa kushirikiana na Chama cha Madaktari Wanawake Tanzania (MEWATA) leo imetoa huduma ya uchunguzi wa awali wa kuangalia uvimbe kwenye matiti bila kufanya upasuaji. Akizungumzia zoezi hilo mtaalam wa Radiolojia wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Mloganzila Dkt. Lulu Sakafu amesema katika zoezi hilo endapo mgonjwa …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MABALOZI WATATU WAPYA LEO JIJINI DSM
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan leo tarehe 31 Januari, 2019 amekutana na kufanya mazungumzo na Mabalozi kutoka nchi 3 ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Balozi wa kwanza kukutana na Makamu wa Rais, alikuwa Mhe. Gaber Mohamed Abulwafa Balozi mpya wa Misri hapa nchini ambaye alifika kwa lengo la …
Soma zaidi »TAASISI YA (MOI) YAFANYA UCHUNGUZI WA KIBOBEZI WA MOYO KWA KUTUMIA KIPIMO CHA MRI (Cardiac MRI Contrasted study).
Taasisi ya Mifupa (MOI) kwa mara ya kwanza imefanya uchunguzi wa kibobezi wa moyo kwa kutumia kipimo cha MRI (Cardiac MRI Contrasted study). Kipimo hicho ambacho hakijawahi kufanyika katika Hospitali ya Umma hapa nchini kipimo hicho kinaonyesha vyumba, milango, mishipa ya damu na misuli kwa ufasaha mkubwa.
Soma zaidi »