Akikabidhi hundi hiyo Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dotto James amesema kwa hivi sasa nchi inajumla ya Mw 1602, hivyo kukamilika kwa mradi wa Rufiji kutaifanya nchi kuwa na umeme mwingi na wa uhakika. Aliongeza mradi huu unagharamiwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano
Soma zaidi »TATIZO LA USIKIVU WA MAWASILIANO MAFIA KUKAMILIKA NDANI YA MIEZI 7
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Atashasta Nditiye (Mb.) amewaahidi wakazi wa Kisiwa cha Mafia kuwa Serikali imejipanga kuboresha mawasiliano katika vijiji vitatu vyenye usikivu hafifu wa mawasiliano ya simu za mkononi. Akizungumza na wananchi wa vijiji vya Miburani, Chunguruma na Banja kisiwani Mafia wakati wa ziara ya kukagua usikivu …
Soma zaidi »MRADI WA MAJI MLANDIZI MBOGA KUANZA KATIKATI YA MWEZI WA NNE
Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete ametembelea kiwanda cha mabomba cha Tanzania Steel Pipes kinachotengeneza mabomba ya kusafirishia maji kwenye mradi wa maji wa Mlandizi- Chalinze- Mboga, ambapo takribani mabomba 321 yameanza kusafirishwa kwa ajili ujenzi wa mradi huo unaotarajiwa kuanza katikati ya mwezi April. Amesema, kukamilika kwa mradi huo ambao …
Soma zaidi »MRADI WA UMEME WA STIEGLER’S GORGE WAKAMILISHA UJENZI WA MIUNDOMBINU WEZESHI
Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na ya Kiwango na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2019/20,Upande wa Mradi wa Kufua Umeme wa Maji Rufiji – MW 2,115: Hatua iliyofikiwa ni: kupatikana kwa mkandarasi wa mradi wa kufua umeme utokanao na nguvu ya maji katika Mto …
Soma zaidi »WAZIRI UMMY AWAPONGEZA WAWEKEZAJI VIWANDA VYA DAWA – KIBAHA
Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, amesema katika kila Sh. 100 ambayo Serikali inatumia kununua dawa nchini, Sh. 94 inapelekwa nje ya nchi kwa ajili ya ununuzi wa dawa hizo. Waziri Ummy alisema hayo jana wilayani Kibaha, Pwani wakati wa ziara yake ya kutembelea na …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AMETIMIZA NDOTO YA BABA WA TAIFA – MCHENGERWA
Serikali imekabidhi rasmi eneo la mradi wa umeme wa maporomoko ya maji ya Mto Rufiji (RHPP), kwa mkandarasi Kampuni ya Arab Contractors kwa pamoja na ile ya Elsewedy Electric zote kutoka nchini Misri. Hatua hiyo sasa inaashiria kuanza kwa kazi ya ujenzi wa mradi huo wa umeme ambao utazalisha Megawati …
Soma zaidi »