LIVE: Bunge la 11, Kikao cha Tano MASWALI na MAJIBU
SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KAIMU BALOZI WA MAREKANI, BALOZI WA SWEDEN
LIVE: Bunge la 11, Kikao cha Pili MASWALI na MAJIBU
LIVE: Bunge la 11 Mkutano wa 13 Kikao cha Kwanza
WIZARA YA MADINI YAANZA UTEKELEZAJI WA AGIZO LA RAIS MAGUFULI, KUANZISHA MASOKO YA MADINI
Wizara ya Madini imeanza utekelezaji wa Maagizo mbalimbali yaliyotolewana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt John Pombe Magufuli yenye lengo la kuboresha mchango wa Sekta ya Madini. Hayo yamesemwa na Waziri wa madini Mhe Doto Mashaka Biteko leo tarehe 26 Januari 2019 wakati akitoa taarifa ya wizara …
Soma zaidi »TANZANIA KUNUFAIKA NA MRADI WA KUZALISHA TAKWIMU ZINAZOHUSIANA NA JINSIA
Msikilize Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina Chuwa akifafanua kuhusu mradi wa kuzalisha takwimu zinazohusiana na jinsia. [soundcloud url=”https://api.soundcloud.com/tracks/564293745″ params=”color=#ff5500&auto_play=false&hide_related=false&show_comments=true&show_user=true&show_reposts=false&show_teaser=true&visual=true” width=”100%” height=”300″ iframe=”true” /]
Soma zaidi »WAZIRI MKUU AKAGUA ENEO LA UJENZI WA HOSPITALI YA UHURU CHAMWINO
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekagua eneo la ujenzi wa hospitali ya Uhuru lenye ukubwa wa ekari 109 lililoko katika wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma. Akizungumza na wakazi wa kijiji cha Maduma wilayani humo, Waziri Mkuu amesema uamuzi wa Serikali ya kijiji hicho wa kutenga maeneo ya maendeleo ni wa kupigiwa mfano …
Soma zaidi »KIKAO CHA MAWAZIRI KUHUSU BOMBA LA MAFUTA KUFANYIKA KAMPALA WIKI IJAYO
Kikao cha Tatu (3) cha mawaziri wa sekta zinazohusika na utekelezaji wa mradi wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP), kinatarajiwa kufanyika Januari 25, 2019 jijini Kampala. Kikao hicho kitakachotanguliwa na vikao ngazi ya wataalamu na baadaye ngazi ya makatibu wakuu wa Wizara husika, kitaongozwa na Mawaziri …
Soma zaidi »MRADI WA MADINI YA URANIUM UNATARAJIWA KULIINGIZIA TAIFA KODI YA DOLA MILIONI 220 KWA MWAKA
Uwekezaji uliofanyiwa katika mradi wa uchimbaji madini ya uranium katika mto Mkuju ulioko mkoani Lindi ya Uranium One umefikia kiasi cha dola za kimarekani Milioni mia mbili ($200mil) toka mradi ulipoanza mwaka 2009. Akizungumzia na Waziri wa Madini Dotto Biteko mjini Dodoma, Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Uranium One, Frederick Kibodya …
Soma zaidi »