Maktaba Kiungo: Rais Live

SERIKALI HAINA MPANGO WA KUONGEZA MIKOA MIPYA – RAIS MAGUFULI

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amesema Serikali haina mpango wa kuongeza maeneo ya utawala ikiwemo kuanzisha mikoa mipya na badala yake imejipanga kuimarisha huduma na mahitaji ya miundombinu iliyopo ili kuwaletea maendeleo wananchi. Amezungumza hayo Wilayani Tunduru mkoani Ruvuma katika hafla ya uzinduzi wa barabara ya Namtumbo-Kilimasera-Matemanga-Tunduru yenye urefu wa …

Soma zaidi »

LIVE: HAFLA YA UAPISHO WA BALOZI VALENTINO MLOWOLA NA KUPOKEA RIPOTI YA TAKUKURU

  Machi 28, 2019 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John pombe Magufuli amuapisha Kamishna Valentino Longino Mlowola kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Cuba Pia Rais Dkt. Magufuli anapokea Ripoti ya Utendaji kazi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Inayowasilishwa na Kamishna Mkuu wa Taasisi …

Soma zaidi »