RAIS WA ZANZIBAR AZUNGUMZA NA UJUMBE WA WASHIRIKA WA MAENDELEO SEKTA YA KILIMO TANZANIA

RAIS-SHEIN-5
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Meneja Mkaazi wa Growing Africa’s Agriculture (AGRA) wakati wa mazungumzo na Ujumbe wa Washirika wa Sekta ya Kilimo Tanzania, ukiongozwa na Mwakilishi wa FAO Tanzania na Mwenyekiti wa Washirika wa Maendeleo Sekta ya Kilimo Tanzania Mr. Fred Kafeero, ulipofika Ikulu
RAIS-SHEIN-4
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa Washiriki wa Maendeleo Sekta ya Kilimo Tanzania kushoto Mwakilishi wa FAO Nchini Tanzania pia ni Mwenyekiti wa Washiriki wa Maendeleo Sekta ya Kilimo Tanzania Mr, Fred Kafeero akiwa na Mwakilishi wa UNIDO Tanzania,Mauritius na EAC.Mr. Stephen Bainous Kargbo,
RAIS-SHEIN-3
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mwakilishi wa FAO Nchini Tanzania na Mwenyekiti wa Washirika wa Maendeleo Sekta ya Kilimo Tanzania Mr. Fred Kafeero, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kungozana na Ujumbe wake.
RAIS-SHEIN-2
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiongozana na mgeni wake Mwakilishi wa FAO Nchini Tanzania pia ni Mwenyekiti wa Washirika wa Maendeleo Sekta ya Kilimo Tanzania Mr. Fed Kafeero, wakitoka katika ukumbi wa mkutano baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar.
RAIS-SHEIN-1
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Mwakilishi wa FAO Nchini Tanzania Mr. Fred Kafeero kushoto na Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Ujumbe wa Washirika wa Maendeleo Sekta ya Kilimo Tanzania, baada ya mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar.

Unaweza kuangalia pia

LIVE: UZINDUZI WA MAJENGO YA OFISI YA MANISPAA NA MKUU WA WILAYA KIGAMBONI JIJINI DSM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 11, Febuari, …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.