Maktaba Kiungo: SADC

KISWAHILI LUGHA YA NNE RASMI KWA NCHI ZA SADC

Kiswahili kuwa lugha ya nne rasmi itakayotumika katika mikutano na machapisho mbali mbali ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Akitangaza katika Mkutano wa 39 wa Wakuu wa nchi na Serikali za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Mwenyekiti wa SADC Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AKABIDHIWA UENYEKITI WA SADC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 17 Agosti, 2019 amekabidhiwa Uenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) katika Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC ulioanza leo katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere …

Soma zaidi »

DKT. ABBASI: NCHI 16 ZIMETHIBITISHA KUSHIRIKI MKUTANO MKUU SADC TANZANIA 2019

Nchi 16 za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) zimethibitisha kushiri Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya hiyo utakaofanyika  Jijini Dar es Salaam, Tanzania  Agost 17 na 18 mwaka huu. Akizungumza katika Kipindi cha 360 cha Clouds Tv, Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji …

Soma zaidi »

SADC KUIMARISHA MIUNDOMBINU YA USAFIRISHAJI

  Sekretarieti ya Miundombinu ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini Mwa Afrika (SADC) inajikita katika kuimarisha na kuboresha miundombinu ya usafirishaji kwa kufanya ukarabari na kuhuisha sekta hiyo hususani sekta ya Bandari, Reli na Anga. Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Wa Sekritarieti …

Soma zaidi »

PROF KABUDI: TUENDELEE KUSHIKAMANA KUJENGA JUMUIYA IMARA KWA MASLAHI YA WANANCHI WETU

Mwenyekiti Mpya wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika, Prof. Palamagamba Kabudi amezitaka Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kuendelea kushikamana katika Umoja na Mshikamano baina yao ili kujenga Uchumi imara na kuleta Maendeleo ya wananchi wake. Akizungumza katika hafla ya kukabidhiwa nafasi …

Soma zaidi »