WAZIRI KAMWELWE AKAGUA MELI YA GHOROFA NANE YENYE UWEZO WA KUBEBA MAGARI 1347

MELI 5-01
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Isack Aloyce Kamwelwe akikagua meli kubwa ya kubeba magari mara baada ya kutia nanga kwa mara ya kwanza kwenye gati maalum kupakia na kupakua magari (RO-RO Berth) tarehe 16/9/2019. Ghati hilo lenye uwezo wa kupokea hadi gari 10, 000 kwa wakati mmoja litakabidhiwa kwa TPA tarehe 17/9/2019. Meli iliyopokelewa ina uwezo wa kubeba gari 6000 na ime pakua gari 1,300.
MELI 1-01
Meli yenye uwezo Ghorof nane yenye uwezo wa kubeba magari 1347 ikiwa imetia nanga katika Gati mpya linalojengwa kwenye Bandari ya Dar es Salaam leo
MELI 3-01
Meli yenye uwezo Ghorofa nane yenye uwezo wa kubeba magari 1347 ikiwa imetia nanga katika Gati mpya linalojengwa kwenye Bandari ya Dar es Salaam leo
MELI 4-01
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe akizungumza wakati wa mkutano na waandishi wa Habari kuhusu Mkutano wa Mawaziri kutoka Nchi Wanachama wa Jumuia za Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wanaohusika na Sekta ya TEHAMA, Habari, Uchukuzi na Hali ya Hewa utakao anza kesho kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KATIBU MTENDAJI SADC, BALOZI WA EU NA BALOZI WA CHINA

Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 05 Februari, 2020 amekutana na Katibu Mtendaji wa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *