Maktaba Kiungo: Sisi ni TANZANIA Mpya

RAIS MAGUFULI:NITABADILISHA JIJI LA DAR ES SALAAM.

Rais Dkt John Magufuli, amezindua flyover ya MFUGALE hii leo katika makutano Tazara jijini Dar Es Salaam. Rais Magufuli amesema kuwa flyover hiyo imepewa jina hilo kutokana na kazi nyingi alizofanya Injinia Patrick Mfugale, ambaye ni Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini(TANROADS),kwa uaminifu mkubwa na kwa kutanguliza utanzania badala …

Soma zaidi »

KIGOMA: Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu katika kijiji cha Ruchugi, Kitongoji cha Kibaoni, Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu wananchi wa kijiji cha Ruchugi, Kitongoji cha Kibaoni, Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma akiwa njiani kuelekea Kazuramimba kuhutubia mkutano wa hadhara, pamoja na mambo mengine Makamu wa Rais aliwataka wananchi hao kuzingatia lishe bora kwa watoto …

Soma zaidi »

SHILOLE AKIRI NYUMBANI KUMENOGA, AMESHARUDI NYUMBANI

Msanii wa Muziki wa kizazi kipya (Bongo Flava) na mjasiriamali SHILOLE ametangaza kujiunga na mtandao wa Simu za mkononi wa TTCL katika kampeni ya MKOA2MKOA #RudiNyumbaniKumenoga ni kauli mbiu inayotumiwa na kampuni ya simu ya mawasiliano ya Kitanzania ya TTCL Huduma za mawasiliano kupitia TTCL sasa zinapatikana nchi nzima. Ukiwa …

Soma zaidi »

MATALUMA 1,080 YA RELI MPYA YANAZALISHWA KWA SIKU KIWANDANI SOGA

Katika picha; Mataluma na vifungashio vyake yakiendelea kuzalishwa nchini katika kiwanda kilichopo katika kambi ya ujenzi wa reli ya kisasa-SGR Soga,mkoa wa Pwani, ambapo kiwanda hicho huzalisha mataluma 1080 kwa siku. Kazi ya kutandika mataluma katika tuta la Reli lililojengwa kisasa imeanza tarehe 31 Agosti 2018 na siku chache zijazo …

Soma zaidi »