SHILOLE AKIRI NYUMBANI KUMENOGA, AMESHARUDI NYUMBANI

Msanii wa Muziki wa kizazi kipya (Bongo Flava) na mjasiriamali SHILOLE ametangaza kujiunga na mtandao wa Simu za mkononi wa TTCL katika kampeni ya MKOA2MKOA

#RudiNyumbaniKumenoga ni kauli mbiu inayotumiwa na kampuni ya simu ya mawasiliano ya Kitanzania ya TTCL

Ad

Huduma za mawasiliano kupitia TTCL sasa zinapatikana nchi nzima. Ukiwa ni mtandao wa simu wenye gharama nafuu kuliko mitansao mingine nchini Tanzania.

maana #SisiNiTanzaniaMpyA+ yenye kupata Matokeo ChanyA+ 110% kiuchumi (video)

Ad

Unaweza kuangalia pia

SISI TUNAWEZA KUJIFUNZA KUTOKA KWA MARAFIKI WEMA.

Nchi za Nordic zina jumla ya watu milioni 27 tu, huku Pato lao kwa mwaka …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *