Jumla ya wagonjwa 12 ambao mishipa yao ya damu ya moyo imeziba kwa muda mrefu (Total Chronic Occlusion – CTO) wanatarajiwa kufanyiwa upasuaji unaohitaji utaalamu wa hali ya juu katika kambi maalum ya matibabu inayofanyika katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI). Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar …
Soma zaidi »BALOZI WA ISRAEL ATEMBELEA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI)
Israel imeahidi kuendelea kushirikiana na Tanzania kupitia Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kuhakikisha watoto wenye magonjwa ya moyo wanapata matibabu kwa wakati. Hayo yamesemwa jana na Balozi wa nchi hiyo nchini mwenye makazi yake Jijini Nairobi nchini Kenya Mhe. Oded Joseph alipotembelea Taasisi hiyo kwa ajili ya kuona …
Soma zaidi »TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE(JKCI) KUJENGA HOSPITALI KUBWA YA MOYO MLOGANZILA
Serikali kupitia Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete(JKCI) ikishirikiana na Serikali ya China wanatarajia kujenga hospitali kubwa ya moyo katika eneo la Mloganzila ambapo hatua za awali za mchakato wa ujenzi zimekamilika. Akizungumza katika Mkutano na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Prof.Mohammed Janabi alieleza …
Soma zaidi »TAASISI YA MOYO YAPOKEA MSAADA WA MASHINE NDOGO YA KIGANJANI YA KUANGALIA JINSI MOYO UNAVYOFANYA KAZI
TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) KWA KIPINDI CHA MWAKA MMOJA WA 2019 IMEOKOA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 28 KWA KUFANYA UPASUAJI WA MOYO KWA WAGONJWA 1873
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kipindi cha mwaka mmoja wa 2019 imeokoa zaidi ya shilingi bilioni 28 kwa kufanya upasuaji wa moyo kwa wagonjwa 1873 . Hayo yamesemwa jana na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Prof. Mohamed Janabi wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu huduma za matibabu …
Soma zaidi »MADAKTARI KUTOKA NCHINI CHINA WANAOFANYA KAZI NCHINI WATOA MSAADA WA VIFAA TIBA NA DAWA ZENYE THAMANI YA SH. 15 MILIONI KATIKA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI)
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imetumia zaidi ya shilingi bilioni 1.2 kwa mwaka 2019 kwa ajili ya kulipa gharama za matibabu ya moyo kwa wagonjwa wanaotoka katika familia maskini na wasiokuwa na uwezo wa kulipia gharama hizo. Hayo yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi hiyo Agnes Kuhenga wakati akizungumza …
Soma zaidi »MADAKTARI BINGWA WA WATOTO WA TAASISI YA MOYO (JKCI) NA PROF. PAN XIANG BIN WAFANYA UPASUAJI WA BILA KUFUNGUA KIFUA KUPITIA MSHIPA WA DAMU WA KWENYE PAJA
MADAKTARI NA WAUGUZI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) WAJIFUNZA JINSI YA KUOKOA MAISHA YA MTU ALIYEPATA TATIZO LA DHARULA LA KIAFYA
SERIKALI YAOKOA ZAIDI YA SH. BILION 89 KWA WAGONJWA 5954 WALIOFANYIWA UPASUAJI WA KUFUNGUA NA BILA KUFUNGUA KIFUA KATIKA TAASISI YA MOYO (JKCI)
Kwa kipindi cha miaka minne Serikali imeweza kuokoa zaidi ya shilingi bilioni 89 kwa wagonjwa 5954 wenye matatizo makubwa ya moyo ambao walifanyiwa upasuaji wa kufungua na bila kufungua kifua katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI). Kama wagonjwa hawa 5954 waliofanyiwa upasuaji hapa nchini wangetibiwa nje ya nchi Serikali …
Soma zaidi »JKCI WAFANYA UPASUAJI WA KUTENGANISHA MSHIPA WA DAMU WA KUSAMBAZA DAMU KWENYE MWILI KWA WATOTO
11/11/2019 Kwa mara ya kwanza madaktari bingwa wa upasuaji wa moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wamefanya upasuaji wa kutenganisha mshipa wa damu wa kusambaza damu kwenye mwili na kuweka mshipa bandia wa kusambaza damu kwenye mapafu (Truncus Arteriosus). Upasuaji huo uliochukuwa muda wa masaa …
Soma zaidi »