MADAKTARI NA WAUGUZI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) WAJIFUNZA JINSI YA KUOKOA MAISHA YA MTU ALIYEPATA TATIZO LA DHARULA LA KIAFYA

1-01
Madaktari na wauguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakijifunza jinsi ya kuokoa maisha ya mtoto aliyepata tatizo la dharula la kiafya wakati wa mafunzo ya siku tatu yanayofanyika katika ukumbi wa mikutano Taasisi hiyo jijii Dar es Salaam. Mafunzo hayo yanatolewa na wataalamu kutoka kituo cha Emergency Medical Services Academy kilichopo Mikocheni jijini Dar es Salaam.
2-01
Dkt. Sylivester Fanya kutoka kituo cha Emergency Medical Services Academy kilichopo Mkocheni jijini Dar es Salaam akiwafundisha madaktari na wauguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) jinsi ya kuokoa maisha ya mtu aliyepata tatizo la dharula la kiafya wakati wa mafunzo ya siku tatu yanayofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.
3-01

Ad

Unaweza kuangalia pia

TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE(JKCI) KUJENGA HOSPITALI KUBWA YA MOYO MLOGANZILA

Serikali kupitia Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete(JKCI) ikishirikiana na Serikali ya China wanatarajia kujenga …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *