TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE(JKCI) KUJENGA HOSPITALI KUBWA YA MOYO MLOGANZILA

  • Serikali kupitia Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete(JKCI) ikishirikiana na Serikali ya China wanatarajia kujenga hospitali kubwa ya moyo katika eneo la Mloganzila ambapo hatua za awali za mchakato wa ujenzi zimekamilika.
  • Akizungumza katika Mkutano na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Prof.Mohammed Janabi alieleza kuwa katika miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Tano taasisi hiyo imepanua huduma zake na kuboresha huduma za matibabu ya moyo kwa kiwango cha kimataifa.
  • “Katika kipindi cha miaka minne wagonjwa waliopatiwa huduma ni 300,836 ambao walitibiwa na kurudi nyumbani na wagonjwa 14,960 ambao walilazwa kwa ajili ya kupata matibabu zaidi, na mahitaji yanazidi kuongezeka hata kutoka katika nchi jiraniani”, Alisema Prof.Janabi.
  • Alisema kuwa mahitaji ya ujenzi wa hospitali kubwa ya Mloganzila yanatokana na kuwepo kwa wagonjwa wengi nje ya nchi ambao wamekuwa wakija kupata matibabu kwa hiyo uwepo wa hospitali hiyo kutaimarisha utoaji huduma za matibabu ya moyo hapa nchini.
  • Katika kipindi cha Miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Tano JKCI imeweza kufanya upasuaji mkubwa kwa kusimamisha moyo kwa wagonjwa 1,537 kwa mafanikio makubwa huku vifo vikiwa ni asilimia 6 tu sawa na wagonjwa 92 kitu ambacho kinawashawishi nchi jirani kama Uganda, Rwanda, Malawi, Burundi na Congo DRC kuleta wagonjwa wao kwenye Taasisi hiyo.
  • Prof.Janabi alisema kuwa uwepo wa vifaa vya kisasa na wataalam waliobobea kumewezesha zoezi la upasuaji kuwa salama,  ambapo upasuaji wa moyo kwa njia ya tundu dogo linalotobolewa kwenye paja kwa kutumia mtambo wa cathlab (catheterization), wagonjwa  4,207 walipata huduma hiyo huku vifo vikiwa ni asilimia 1.3 tu sawa na wagonjwa 42.
  • “Katika kipindi cha miaka minne huduma za JKCI zimeweza kuokoa zaidi ya shilingi bilioni 86 kwa kufanya upasuaji kwa wagonjwa 5,744 ambao wangeenda kutibiwa nje ya nchi kutokana na uwepo wa vifaa vyenye uwezo mkubwa, hususani kwenye masuala ya upasuaji  wa moyo kwa njia ya tundu dogo” Alisema Prof.Janabi.
  • Aidha katika kipindi hiki cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Tano, JKCI imeongeza ujuzi wa wataalam ambapo kwa sasa Tanzania ni nchi ya pili barani Afrika kwa kutoa matibabu ya moyo yaliyo salama na kwa wagonjwa wengi ikitanguliwa na Afrika ya Kusini
  • Aliongeza kuwa JKCI imefanikiwa kufanya upasuaji wa moyo kwa mtoto mdogo mwenye umri wa siku 7 na mzee mwenye umri wa miaka 101 ambao kwa sasa wagonjwa hao wote wawili wanaendelea vizuri na maisha yao.
  • “katika kukabiliana na changamoto ya idadi kubwa ya wagonjwa, Rais John Magufuli mwezi Januari 2019 alitoa nafasi kwenye jengo la watoto lililopo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya kliniki za watoto tu”, Alisema Prof. Janabi.
  • Prof.Janabi alisema kuwa JKCI imenunua mashine mpya mbalimbali za matibabu ya moyo zikiwemo mashine za kuchunguza jinsi moyo unavyofanya kazi, mfumo wa umeme wa moyo  unavyofanya kazi, ventilators, cardiac monitors, test gears, mashine ya X-ray pamoja na vifaa vya chumba cha tatu cha upasuaji.
  • Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ni hospitali kuu maalum kwa ajili ya matibabu ya moyo inayomilikiwa na Serikali ambayo ilianzishwa Septemba 2015,ambayo imeendelea kuitangaza vyema nchi yetu hata katika nje ya mipaka yetu.Na.Paschal Dotto-MAELEZO.
Ad

Unaweza kuangalia pia

ONGEZENI KASI YA KUWAHUDUMIA WANANCHI – DKT. CHAULA

Watumishi wa afya nchini wametakiwa kuongeza kasi ya kuwahudumia wananchi kwenye vituo vya kutolea huduma …

226 Maoni

  1. Muhammad Al Owais https://al-hilal.mohammed-alowais-ar.com is one of the most prominent names in modern Saudi football. His path to success in Al Hilal team became an example for many young athletes.

  2. Football in Saudi Arabia https://al-hilal.saud-abdulhamid-ar.com is gaining more and more popularity and recognition on the international stage, and Saud Abdul Hamid, the young and talented defender of Al Hilal, is a shining example of this success.

  3. Maria Sharapova https://tennis.maria-sharapova-ar.com was born on April 19, 1987 in Nyagan, Russia. When Masha was 7 years old, her family moved to Florida, where she started playing tennis.

  4. Angel Di Maria https://benfica.angel-di-maria-ar.com is a name that will forever remain in the memories of Benfica fans.

  5. Продажа новых автомобилей Hongqi
    https://hongqi-krasnoyarsk.ru/contacts в Красноярске у официального дилера Хончи. Весь модельный ряд, все комплектации, выгодные цены, кредит, лизинг, трейд-ин

  6. Upcoming fantasy MOBA https://bladesofthevoid.com evolved by Web3. Gacha perks, AI and crafting in one swirling solution!

  7. Продажа новых автомобилей Hongqi
    https://hongqi-krasnoyarsk.ru/buyers/test-drive-form в Красноярске у официального дилера Хончи. Весь модельный ряд, все комплектации, выгодные цены, кредит, лизинг, трейд-ин

  8. Brazilian footballer Ricardo Escarson https://orlando-city.kaka-ar.com dos Santos Leite, better known as Kaka, is one of the most famous and successful players in football history.

  9. Bella Hadid https://img-models.bella-hadid-ar.com is an American model who has emerged in recent years as one of the most influential figures in the world of fashion.

  10. Sadio Mane https://al-nassr.sadio-mane-ar.com the Senegalese footballer best known for his performances at clubs such as Southampton and Liverpool, has become a prominent figure in Al Nassr.

  11. Edson Arantes https://santos.pele-ar.com do Nascimento, known as Pele, was born on October 23, 1940 in Tres Coracoes, Minas Gerais, Brazil.

  12. Brazilian footballer Malcom https://al-hilal.malcom-ar.com (full name Malcom Felipe Silva de Oliveira) achieved great success in Al Hilal, one of the leading football teams in Saudi Arabia and the entire Middle East.

  13. Travis Scott https://astroworld.travis-scott-ar.com is one of the brightest stars in the modern hip-hop industry.

  14. The history of one of France’s https://france.paris-saint-germain-ar.com most famous football clubs, Paris Saint-Germain, began in 1970, when capitalist businessmen Henri Delaunay and Jean-Auguste Delbave founded the club in the Paris Saint-Germain-en-Laye area.

  15. Juventus Football Club https://italy.juventus-ar.com is one of the most successful and decorated clubs in the history of Italian and world football.

  16. Автомобили Hongqi https://hongqi-krasnoyarsk.ru в наличии – официальный дилер Hongqi Красноярск

  17. Liverpool https://england.liverpool-ar.com holds a special place in the history of football in England.

  18. Priyanka Chopra https://baywatch.priyankachopra-ar.com is an Indian actress, singer, film producer and model who has achieved global success.

  19. Michael Jordan https://chicago-bulls.michael-jordan-ar.com is one of the greatest basketball players of all time, whose career with the Chicago Bulls is legendary.

  20. After some difficult years in the late 2010s, Manchester United https://england.manchester-united-ar.com returned to greatness in English football by 2024.

  21. The Formula One World Championship https://world-circuit-racing-championship.formula-1-ar.com, known as the Formula Championship in motor racing, is the highest tier of professional motor racing.

  22. прихожая дизайн интерьера https://dizayn-interera-doma.ru

  23. Muhammad Ali https://american-boxer.muhammad-ali-ar.com is perhaps one of the most famous and greatest athletes in the history of boxing.

  24. In the German football https://german-championship.bundesliga-football-ar.com championship known as the Bundesliga, rivalries between clubs have always been intense.

  25. The road to the Premier League https://english-championship.premier-league-ar.com begins long before a team gets promoted to the English Premier League for the first time

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *